CHADEMA vs CHAUMMA: Nani anaenda kumfunika mwenzake?

chauma ni motooooooo, hawana papara, ni watu wa kujielewa, wanajua uongoz, sio leo tuchagua katibu mkuu mara kesho unasikia huyu anakaimu tuu.
Pale Chaumma inaonekana kumejaa team inayojua kufanya siasa za field. Wanawapelekea moto sana Chadema.
 
View attachment 3365370View attachment 3365368

Tupe maoni yako nani anaenda kumfunika mwenzeke?

Chaumma nyomi kama lote kila kona wanayokanyaga.

Chadema nao wanajitahidi.

Hii vita bado mbichi.
Chaumaccm a k a chauma ubwabwa ni ibirisi kama ccm wote hutumia pesa za walipa kodi kusomba watu kuwapa mafuta bodaboda kuwaletea watu kwa njia haramu za kishetani, ni Tofauti na chadema ambayo hujaza watu kwa hiali yao pasipo kulazimishwa na mtu
 
Chadema hauwezi kuiweka kwenye mizani sawa na Chauma, utaonekana hamnazo.
Kwa nini haiwezi?

Wananchi wa Tanzania wanaangalia upepo unapovuma, Chaumma wakifaulu vizuri chadema hawana chao.
 
Pale Chaumma inaonekana kumejaa team inayojua kufanya siasa za field. Wanawapelekea moto sana Chadema.
Siyo kweli chauma ubwabwa hawana uwezo wa kushindana na chadema kwani chauma inagharamiwa kila kitu na ibirisi wa ccm ikiwemo kusomba watu kuwaketa kwenye mikutano
 
Chaumaccm a k a chauma ubwabwa ni ibirisi kama ccm wote hutumia pesa za walipa kodi kusomba watu kuwapa mafuta bodaboda kuwaletea watu kwa njia haramu za kishetani, ni Tofauti na chadema ambayo hujaza watu kwa hiali yao pasipo kulazimishwa na mtu
Niwekee video kuthibitisha haya maumivu yako.
 
Kwa nini haiwezi?

Wananchi wa Tanzania wanaangalia upepo unapovuma, Chaumma wakifaulu vizuri chadema hawana chao.
Kufaulu kupi? Weka uwanja sawa uone acha kuwaonea chadema acha kuwabambikia kesi acha kuwapora luzuku acha kuwafungia mikutano yao uone kama ibirisi chauma tawi la ibirisi ccm wanaweza kuwashinda chadema
 
Haya subiri uwanja uwekwe sawa, chaumma wanazidi kuteka mioyo ya watanzania.
 
Bilion 15 walizokwapua Hazina kazi maalum ndizo zilizowanunua G55 magalasa toka kwa mbowe Dalali wa siasa kisha kuwasokomeza Chaumaccm ambao ni ibirisi kama ibirisi wa ccm wezi wa pesa za umma kwa matumizi ya kuihujumu kuudhofisha chadema badala ya kufanya maendeleo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…