CHADEMA vs CHAUMMA: Nani anaenda kumfunika mwenzake?

chauma ni motooooooo, hawana papara, ni watu wa kujielewa, wanajua uongoz, sio leo tuchagua katibu mkuu mara kesho unasikia huyu chauma hii ambayo inawapa wahamiaji kadi za uwanachama na uwongozi siku hiyohiyo?
 
Chaumaccm ni janga la kitaifa badala ya kuleta maendeleo sasa wamekuja kushirikiana na ibirisi ccm kuiba pesa za walipa kodi
 
Pambano la ngumi Chadema kafungwa pingu na kitambaa usoni alafu apambane na mtu aliye huru bila kikwazo huo ni mapambano gani? Wakitaka kujua kuwa chadema ina nguvu waweke Ulingo sawa
Sahihi mkuu. Hawa watu ni wapumbavu sana
 
Uzi umeletwa na mwanlumumba kupima upepo

Ilitakiwa hapo kwa CHAUMMA iwe CCM -B
 
Usithubutu tena kufananisha Chama cha wanachi CDM na hayo matakataka ya watawala.

No Redorms No Election
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…