Kigera Kwetu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,448
- 1,311
Utakuta wewe ni msomi mzuri tu....ila una chuki ambazo hazina msingi. Kumuita mwenzako kima kwasababu ya itikadi tofauti sio jambo zuri. Hii ni nchi yetu wote.Hakuna wa kuwaachia hao kima
Chadema ni mbumbumbu ndio maana Magufuli aliwatia ududu mwingi sana
Wewe lazima utakuwa nyumbu, tena wale wa kundi la kamanda msaliti.Wewe kwa uandishi wako tu, inaashiria kichwani hakuna kitu.
Ungekuwa na kitu ungekiandika ili ama kuikubali hoja, kuikataa hoja kwa kutoa hoja au kuiboresha hoja ili iwe na mantiki kwa vigezo vyako kadiri ya fikra zako. Kuandika vioja kunapeleka ujumbe kwa wachangiaji kile unachokosa kichwani na moyoni mwako.
Wao wanataka miswada ifutiliwe mbaliKitendo cha kuwazuia Chadema kuandamana hapa Dar es salaam ni Kuwapa umaarufu wasiokuwa nao
Waachwe Waandamane mtakuja kunishukuru baadae
Maandamano pekee walivyofanya Chadema ni ya kumsindikiza Mzee Lowassa kuchukua Fomu Tume ya Uchaguzi pale Posta house 2015
Baadae walijaribu Peke yao wakaishia Mkwajuni na Akwilina kuuawa lakini yalikuwa maandamano dhaifu sana
Mlale Unono
Unamshauri nani?Kitendo cha kuwazuia Chadema kuandamana hapa Dar es salaam ni Kuwapa umaarufu wasiokuwa nao
Waachwe Waandamane mtakuja kunishukuru baadae
Maandamano pekee walivyofanya Chadema ni ya kumsindikiza Mzee Lowassa kuchukua Fomu Tume ya Uchaguzi pale Posta house 2015
Baadae walijaribu Peke yao wakaishia Mkwajuni na Akwilina kuuawa lakini yalikuwa maandamano dhaifu sana
Mlale Unono
Ile ni miswaada au kopy paste ya Katiba Ile ileWao wanataka miswada ifutiliwe mbali
Inasikitisha sanaTangu nijitambue nasikiaga maandamano ya amani ni haki ya kikatiba na kibanadamu
Lakini sijawahi Ona polisi wakitoa kibali cha maandamano kwa wanaokosoa serikali
Duuh!
Naishukuru serikali kwa kunielewaHakuna wa kuwaachia hao kima
Chadema ni mbumbumbu ndio maana Magufuli aliwatia ududu mwingi sana
Serikali kupitia Jeshi la PolisiUnamshauri nani?
Mchaga mpumbavu aliyezaliwa Ngara.Hakuna wa kuwaachia hao kima
Chadema ni mbumbumbu ndio maana Magufuli aliwatia ududu mwingi sana
Sawa mchaga shoga wa marekaniMchaga mpumbavu aliyezaliwa Ngara.