Pre GE2025 CHADEMA waachwe Waandamane lakini wapewe Ulinzi wa kutosha, Watarahisisha sana Miswada ya Sheria za Uchaguzi Kupita mapema!

Pre GE2025 CHADEMA waachwe Waandamane lakini wapewe Ulinzi wa kutosha, Watarahisisha sana Miswada ya Sheria za Uchaguzi Kupita mapema!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wewe kwa uandishi wako tu, inaashiria kichwani hakuna kitu.

Ungekuwa na kitu ungekiandika ili ama kuikubali hoja, kuikataa hoja kwa kutoa hoja au kuiboresha hoja ili iwe na mantiki kwa vigezo vyako kadiri ya fikra zako. Kuandika vioja kunapeleka ujumbe kwa wachangiaji kile unachokosa kichwani na moyoni mwako.
Wewe lazima utakuwa nyumbu, tena wale wa kundi la kamanda msaliti.
Unataka wewe ndiyo uwe kigezo cha kutathimini uandishi wangu? Unataka niandike unavyotaka wewe? Dude, who are you?
Hili ndilo tunaloliongelea hapa, nyie nyumbu hamna ustaarabu wa kuvumilia hoja na mitazamo kinzani ya watu wengine. Mnataka kila mtu aone kila kitu kama mnavyoona nyie! Mnataka kila mnyana akimbie kainamisha kichwa kama nyie! Kwa taarifa yako, wengine tulishatoka kwenye level za unyumbu.
 
Kitendo cha kuwazuia Chadema kuandamana hapa Dar es salaam ni Kuwapa umaarufu wasiokuwa nao

Waachwe Waandamane mtakuja kunishukuru baadae

Maandamano pekee walivyofanya Chadema ni ya kumsindikiza Mzee Lowassa kuchukua Fomu Tume ya Uchaguzi pale Posta house 2015

Baadae walijaribu Peke yao wakaishia Mkwajuni na Akwilina kuuawa lakini yalikuwa maandamano dhaifu sana

Mlale Unono
Wao wanataka miswada ifutiliwe mbali
 
Tangu nijitambue nasikiaga maandamano ya amani ni haki ya kikatiba na kibanadamu
Lakini sijawahi Ona polisi wakitoa kibali cha maandamano kwa wanaokosoa serikali
Duuh!
 
Kitendo cha kuwazuia Chadema kuandamana hapa Dar es salaam ni Kuwapa umaarufu wasiokuwa nao

Waachwe Waandamane mtakuja kunishukuru baadae

Maandamano pekee walivyofanya Chadema ni ya kumsindikiza Mzee Lowassa kuchukua Fomu Tume ya Uchaguzi pale Posta house 2015

Baadae walijaribu Peke yao wakaishia Mkwajuni na Akwilina kuuawa lakini yalikuwa maandamano dhaifu sana

Mlale Unono
Unamshauri nani?
 
Back
Top Bottom