PreGE2025 CHADEMA waburuzana mahakamani, kesi kuanza leo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Son CCM, stay away from me, your plans tend to be very stupid, even if the newborn understands easily
No reform no election imeingia ndani ya CHADEMA hiyo kesi inata reform huko ndani chamani

Nendeni mkajibu kesi ya kutakiwa kufanya reform ya hayo CHADEMA inashtakiwa na wanachama wake
 
Chadema waburuzana mahakamani, kesi kuanza leo
Wafunguaji wa kesi hio ni wanachama wa Zanzibar
Hoja ya msingi ktk kesi
1. Ubaguzi
2. Udini
3. Kivunja Muungano
Source: mtandao wa mwananchi
CHADEMA SIKIO LA KUFA
 
Haaha zote hizo ni mbinu za ccm, baada ya makamu kushindwa uchaguzi kaamua kukimbilia mahakamani
 
Hiki ndio chama kinachotaka kupewa dola.
Bibilia inasema asiyeweza kuwa muaminifu kwa Kidogo hata alipewa kikubwa hataweza vile vile.
 
Samia maji yako shingoni, anatapatapa
 
Kwahiyo miaka yote hiyo ya Mwamba walikua kimya🤣🤣🤣🤣
 
Miaka yote kabla ya Uchaguzi wa January mwaka huu walikuwa viongozi na hawakuwahi kulalamika po pote, leo Lissu yuko kwenye usukani wanaanza viroja!

Tusubiri tuone mwisho wake, uzuri wa kesi za madai haziamriwi kwa pupa labda siasa ziingizwe!
 
Wazanzibar siku zote wapo nyuma ya samia ...na wapo tayari kutumiwa na kumtumikia mtu wao samia
 
Inao mwenyekiti BAWACHA taifa anatoka Zanzibar, Naibu katibu mkuu yupo kutoka Zanzibar na hao wanaoshtaki ni wanachama wa Chadema toka Zanzibar na viongozi wa baraza la wadhamini toka Zanzibar

Hujui hata hayo? Mwana CHADEMA wa wapi
Kuna mzanzibar anaitwa Maulida Ana Komu? Au mmesahau ile slogan yenu kuwa cdm ni chama cha wachaga?
 
Fedha za CCM, Abdul na TISS zinaliwa kizembe sana!

Hawa mamluki wenu waambieni wameshashindwa kabla ya kuanza.
 
Fedha za CCM, Abdul na TISS zinaliwa kizembe sana!

Hawa mamluki wenu waambieni wameshashindwa kabla ya kuanza.
Mtaimba hizo kwaya za mamuluki.sana
Tafuteni ufumbuzi wa matatixo yenu badala ya kuimba kwaya za nyimbo zenye kiitikio mamuluki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…