Jimbo la Konde, Zanzibar lilikuwa wazi kufuatia kifo cha Mbunge Khatib Haji. Hivyo Baraza la Uchaguzi lilitangaza uchaguzi mdogo
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe amewalaumu wanachama na uongozi wa CHADEMA waliojitokeza kuwania nafasi hiyo kwa kuwa msimamo wa chama ni kutoshiriki uchaguzi wowote
Wananchi wa Konde wanatarajia kupiga kura Julai 18
Kata zinazofanya Uchaguzi wa Madiwani ni za Tanzania Bara
Kampeni zitaanza Juni 28 - Julai 17 na Kura zitapigwa Julai 18
Katika siku za hivi karibuni Chama cha Demokrasia na maendeleo, kupitia viongozi, wanachama na washabiki wake kote nchini, waliutangazia umma kuwa hawatashiriki uchaguzi wowote kama hakutakuwa na tume huru ya Uchaguzi. Mbaya zaidi ikakinyooshea kidole chama cha ACT Wazalendo, kilichoshiriki...
Mwenyekiti yupi? Mbowe? Mbona ana madaraka makubwa mno? Yeye atoke Kilimanjaro Meru huko, aende Kawe aende Dodoma aende Ufipa Street Kinondoni, halafu awachagulie Mbunge watu wa Konde Pemba? Wanadai eti anamtaka fatmakarume ambaye wala si Mpemba. Mwalimu Nyerere akihojiwa na Gazeti la London Observer 1969 alisema Katiba inampa madaraka ya dikteta. Mbowe anataka kuendeleza hilo? Msimamo huu ni binafsi au ni wa CHADEMA yote?

Kwenye uchaguzi mdogo wa Jimbo la Buhingwe huko Mkoani Kigoma, wapiga Kampeni wa vyama vinavyoshiriki kwenye uchaguzi huo, ni LAZIMA kila siku waitaje CHADEMA. Kuishambulia huko CHADEMA kunatokana na nini wakati CHADEMA haina Mgombea (Ninavyojua mimi) kwenye jimbo hilo?
Wewe hujasoma Katiba ya CHADEMA. Ilani ya tundulissu ilisema viongozi wote wachaguliwe locally na maamuzi yafanyike mahalia, mwisho iwe wilayani. Alitoa mifano ya Mkuu wa Mkoa, wa Wilaya, Paroko, Passport, Leseni ya Bishara, TANROADS, everything. Akalaani kuwa Viongozi wa Zanzibar huchaguliwa Dodoma. Na ndyo maana akasema tuwe na Katiba mpya tupunguze mamlaka ya Rais, ya RPC, ya Papa, nk. Au hujui unaenda mkumbo tu?
Wachanganyane wasichanganyane, Chadema kule zanzibar ni sawa na Yanga icheze na timu ya daraja la nne huko, hakuna la maana kule, watapoteza luzuku bule