johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ukute yuko ndotoniKwahiyo umekaa hapo unaamini Katiba Mpya ni hitaji la Chadema pekee???
Ni hitaji la wanasiasa kwa sasa!Kwahiyo umekaa hapo unaamini Katiba Mpya ni hitaji la Chadema pekee???
Huwezi kuwalazimisha kama ambavyo wao hawakulazimisha Tanganyika ife!Yaani watu wapatao 59.2Mn wa Tanzania Bara wawe sawa kimaamuzi na 1.9Mn wa kule Visiwani! Kama serikali tatu hazikubaliki kwa sasa basi ni lazima Zanzibar ikubali uwepo wa serikali moja.
Kama Tanganyika ilipoteza hadhi yake ya kutambulika kama nchi ndani ya JMT toka mwaka 1964, ni vyema sasa nayo Zanzibar ipoteze hadhi yake ya sasa ya kutambulika kama nchi ndani ya JMT, na ianze rasmi kufahamika kama mkoa wa Visiwani. La sivyo tugawane fito, na kila upande uchukue hamsini zake
Zanzibar ni nchi Huru!Zanzibsr imo kwenye katiba ya Tanzania japo haifuati yote waliyoyapitisha ndani ya katiba ya Tanzania, huu ni ujuha.
CCM Zanzibar inataka serikali 2 ACT Wazalendo wanataka serikali 3Tambua kwamba wazanzibar hawaitaki hii katiba iliyopo maana inawabana ,wanataka hiyo mpya ambayo inawapa uhuru katika muuongano.
WATANZANIA ni WAJINGA TU hata hao tunaodhani wameelimika mambo yao ya kijinga tu Ulieyeelimika Utakunywa Huu uchafu?Tunakumbushana tu kwa sababu Watanzania Siyo Wajinga
Chadema haina nguvu yoyote Zanzibar na kwa sababu hiyo haina ushawishi
Kura ya maoni kuamua Katiba Mpya Tanzania na Zanzibar zinasimama Kwenye mzani Sawa kwa asilimia za Maamuzi
Mbwembwe zote za Tundu Antipas Lisu mwisho wake Nungwi
Mungu ni Mwema wakati Wote!
- Tena Zanzibar ndio wakereketwa wa Katiba mpya, wao wanataka serikali 3 ambazo hizo serikali 3 zinapatikana kwa Katiba mpya sio Katiba hii ya '77Tunakumbushana tu kwa sababu Watanzania Siyo Wajinga
Chadema haina nguvu yoyote Zanzibar na kwa sababu hiyo haina ushawishi
Kura ya maoni kuamua Katiba Mpya Tanzania na Zanzibar zinasimama Kwenye mzani Sawa kwa asilimia za Maamuzi
Mbwembwe zote za Tundu Antipas Lisu mwisho wake Nungwi
Mungu ni Mwema wakati Wote!
ACT Wazalendo ndio wanataka serikali 3 na mzee Wassira alimwambia Zitto Kabwe pale TBC Sera ya CCM ni serikali 2 kuelekea 1 Ukitaka 3 hakuna Katiba mpya- Tena Zanzibar ndio wakereketwa wa Katiba mpya, wao wanataka serikali 3 ambazo hizo serikali 3 zinapatikana kwa Katiba mpya sio Katiba hii ya '77
ACT Wazalendo ndio wanataka serikali 3 na mzee Wassira alimwambia Zitto Kabwe pale TBC Sera ya CCM ni serikali 2 kuelekea 1 Ukitaka 3 hakuna Katiba mpya
kweli kabisa haiwezekani nchi yenye idadi kubwa ya watu mambo yake yaamliwe na watu wachache ndo maana kuna msemo wa wengi wape.Yaani watu wapatao 59.2Mn wa Tanzania Bara wawe sawa kimaamuzi na 1.9Mn wa kule Visiwani! Kama serikali tatu hazikubaliki kwa sasa basi ni lazima Zanzibar ikubali uwepo wa serikali moja....
Zanzibar walianza kudai KATIBA mpya hata kabla ya Bara.Tunakumbushana tu kwa sababu Watanzania Siyo Wajinga.
Chadema haina nguvu yoyote Zanzibar na kwa sababu hiyo haina ushawishi...
hakuna lisilowezekana duniani kama unafikiri hivyo basi wanzanzibari lazima wakubaliane na serikali tatu.
- sio ACT wazalendo ni wazanzibar ambao wamehoji Muungano tangu 1980
- Wasira alitoa hoja gani kutetea serikali hizo mbili/1? Serikali 1 practically haitekelezeki
Unajua kwanini AG wa Zanzibar Othman Masoud alifukuzwa Kazi na Rais wa Zanzibar wakati wa Mchakato wa Katiba Mpya 2014?
- sio ACT wazalendo ni wazanzibar ambao wamehoji Muungano tangu 1980
- Wasira alitoa hoja gani kutetea serikali hizo mbili/1? Serikali 1 practically haitekelezeki