johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #41
Zanzibar na Tanganyika hazijaungana katika kila Kitu ulielewe hiloSasa mbona mfano wako ni irrelevant? Watu wanazungumzia rais wa znz kuwa na say Tanganyika wewe unatolea mfano wa ruto na m7 wakati si sehemu ya JMT.
Ndio ujue Rasimu Siyo Katiba
Rasimu ya Warioba ni moja tu
Baada ya hapo tuna Katiba Pendekezwa iliyoandaliwa chini ya Mtemi Chenge
- Wakati Mwenyekiti ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tafsiri yake hadhi yake ni kama wajumbe wengine tu except Mwenyekiti wa baraza, Rais wa Zanzibar hadhi yake imedogoshwa.Ni mjumbe wa Baraza la Mawaziri wa JMT
- Ukiisoma Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, The constitutional review act imesema kura ya maoni itakuwa ni 50% Kwa Tanganyika, na 50% Kwa ZanzibarYaani watu wapatao 59.2Mn wa Tanzania Bara wawe sawa kimaamuzi na 1.9Mn wa kule Visiwani! Kama serikali tatu hazikubaliki kwa sasa basi ni lazima Zanzibar ikubali uwepo wa serikali moja.
Kama Tanganyika ilipoteza hadhi yake ya kutambulika kama nchi ndani ya JMT toka mwaka 1964, ni vyema sasa nayo Zanzibar ipoteze hadhi yake ya sasa ya kutambulika kama nchi ndani ya JMT, na ianze rasmi kufahamika kama mkoa wa Visiwani. La sivyo tugawane fito, na kila upande uchukue hamsini zake
- Sheria ya Mabadiliko ya Katiba imesema kuwa ni 50%na 50% both Tanganyika na Zanzibar.Zanzibar 50% wakati 50% ya wazanzibari wako Bara, wao wapewe 25%
Zanzibar na Tanganyika hazijaungana katika kila Kitu ulielewe hilo
Ndio sababu mabalozi wakipokelewa nchini lazima waende kwa Rais wa SMZ kujitambulisha
Kuna maeneo fulani Dr Mwinyi na Dr Ruto wanakuwa Sawa tu!
Nyerere Sijui hata alifikiriaje kwa niaba ya WatanganyikaYes kila muungano una terms zake bwashee! Kuna JMT,ZNZ na Tanganyika! Sasa Mbona tanganyika imemezwa na JMT? Why hatuna rais wa Tanganyika? Why Tanganyika haitajwi? Katiba Mpya ya Warioba imetatua hiyo mikanganyiko.
Pia ujue ACT wana 50% ya maamuzi Zanzibar kwa hiyo ccm wasijidekezeTunakumbushana tu kwa sababu Watanzania Siyo Wajinga.
Chadema haina nguvu yoyote Zanzibar na kwa sababu hiyo haina ushawishi.
Kura ya maoni kuamua Katiba Mpya Tanzania na Zanzibar zinasimama Kwenye mzani Sawa kwa asilimia za Maamuzi.
Mbwembwe zote za Tundu Antipas Lisu mwisho wake Nungwi.
Mungu ni Mwema wakati Wote!
Kama Zanzibar imo ndani ya katiba ya tz,kwa nn bc iitwe nchi Hadi ifike kiwango Cha kuwa na rais?kwa kawaida tunaifahamu kwamba mwaka 1964 Tanganyika na Zanzibar ziliungana kuiunda tz na sio tanzania Zanzibar!!!!!,means that Zanzibar sio nchi,ni mkoa wa pwani,na Haina hadhi ya kuwa na rais,so katiba ya Sasa inayotambua Zanzibar kama nchi,haiko sahihi hata kidogo!?!!!!! Katiba mpya iundwe ili kama Zanzibar Ina hadhi ya kuitwa nchi bc wapewe hiyo nafasi na tuitambue kama nchi nyingine barani afrika,na kama Haina bc tuitambue kama mkoa na hivyo asiwepo rais yeyote atakayeitwa wa Zanzibar,Zanzibar imo kwenye katiba ya Tanzania japo haifuati yote waliyoyapitisha ndani ya katiba ya Tanzania, huu ni ujuha.