Pre GE2025 CHADEMA wafanye kama NCCR walivyofanya kwa Mrema, Lissu hawezi kuwa mkubwa kuliko chama, anatembea anatukana viongozi wenzake bila ushahidi

Pre GE2025 CHADEMA wafanye kama NCCR walivyofanya kwa Mrema, Lissu hawezi kuwa mkubwa kuliko chama, anatembea anatukana viongozi wenzake bila ushahidi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Naona Lissu anawatukana viongozi wenzake kwa lugha za mafumbo. Kama anajiamini si awaseme hao anaodai wanapokea fedha? Kwanini aendeshe siasa za majungu?

Nashauri kamati kuu imuite ajieleze, na hatua za kinidhamu zichukuliwe kama hana ushahidi, ikiwamo kufukuzwa uanachama
 
Chadema imeoza. Karibuni chama kubwa CCM. GAME IS OVER. KWISHNEY .
 
Ya ngoswe mwachie ngoswe pili pili iliyo shamba wewe inakuwashia nini.. Ccm punguzeni kiherehere na CHADEMA
 
Sasa kama Kigaila mke wake ndio anaendesha Maisha ya nyumbani kutoka kwenye ubunge wa Covid 19 huoni kama hii ni rushwa kwa Kigaila?

Au Salumu Mwalimu Mke wake Matiko sianaendesha Maisha ya nyumbani kwa Pesa za Ubunge wa Covid 19 hii sio rushwa?

Wabunge 15 kati ya 19 ni mademu za bwana Mbowe Sasa hii sio rushwa?

Lissu ndio mtu pekee akiondoka CHADEMA inakufa siku hiyo hiyo.
 
CHADEMA ilikuwepo kabla ya Lissu.
Bila Mwamba Mbowe huyo Lissu angekuwa shimo la Tewa saa hizi.Amshukuru sana Mbowe badala ya kumtukana kwa mafumbo
 
CHADEMA ilikuwepo kabla ya Lissu.
Bila Mwamba Mbowe huyo Lissu angekuwa shimo la Tewa saa hizi.Amshukuru sana Mbowe badala ya kumtukana kwa mafumbo
Unajishuku! Muda wa Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm umeshapita. Haya unayoyaona yakisemwa sasa, ni yeye kushindwa kusoma alama za nyakati kuwa wakati ukuta.
 
Kabisa. Inakuwaje CCM tangu ianzishwe mwaka 1977 mpaka leo miaka 47 imepita haijawahi kufanya uchaguzi wa Mwenyekiti wake wa Taifa?

Halafu ina maana CCM huwezi kuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa mpaka uwe Rais? Yaani wana CCM ambao hawatapata nafasi ya kuwa Rais ndiyo wasahau kabisa ndoto ya kuwa wenyeviti wa CCM Taifa?
 
Back
Top Bottom