chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Naona Lissu anawatukana viongozi wenzake kwa lugha za mafumbo. Kama anajiamini si awaseme hao anaodai wanapokea fedha? Kwanini aendeshe siasa za majungu?
Nashauri kamati kuu imuite ajieleze, na hatua za kinidhamu zichukuliwe kama hana ushahidi, ikiwamo kufukuzwa uanachama
Nashauri kamati kuu imuite ajieleze, na hatua za kinidhamu zichukuliwe kama hana ushahidi, ikiwamo kufukuzwa uanachama