Uchaguzi 2020 CHADEMA, Wagombea wenu wanarejeshwa kugombea, mnajua mtapigwa wapi?

Uchaguzi 2020 CHADEMA, Wagombea wenu wanarejeshwa kugombea, mnajua mtapigwa wapi?

Ni kweli CCM wapo radhi kumpa kila wakala wa CHADEMA hata mil 10 aachie ngoma... na uzuri wa CCM wanalipa cash..

Hii ni changamoto nyingine...na ndiyo maana wamekataza mawakala kutumia simu zao kurecord chochote ndani ya kituo..

CHADEMA hakikisheni unapata support kubwa for ya mataifa kuhusu hili otherwise CCM ni vibaya wazoefu mno.

Mnyika John nakuamini sana, work on this issues its beyond your reach.

God bless CHADEMA, sauti ya watanzania wanyonge.
 
Hakuna MTU anaichoka helaaa sasa Kama manachangisha pesa za kampeni mtaweza kuwalipa wasimamizi kweli Jamaa amewaambia point hii ni Vita Halafu nyie mnambinu chache Sana

Hapa ndipo ile 1.5t itakapotumika? Tulidhani kuwa ccm itashinda kwa kukubalika, kumbe ni vita! Kwa mtazamo wangu bila machafuko ya ukweli heshima ya box la kura itaendelea kuwa chini. Kumwagana kinyesi tu ndio suluhisho la huu uhuni.
 
Ni kweli hilo tunalijua. Mawakala watatishwa wengine watatekwa siku ya kupiga kura mradi muda upite wacheleweshwe. Wengine itakuwa siky ya kufatwa na takukuru.

Na wengine watarubuniwa kupewa pesa na vitisho vya kuuawa na namna nyingine ya unyanyasaji hata hivyo yooote tutavuka kwa msaada wa Mungu wa Mbinguni
 
Kupona kwa Lissu ni kusudio maalum la Mungu anayepinga ni mfuasi wa shetani.
 
Naamini kuwa Kila binadamu Ana hali ya kupenda haki ndani yake,hata Kama ni katili kiasi gani, na vilevile naamini wapenda haki ni wengi kuliko wanaoangalia maslahi binafsi, Hivyo nawaomba wote wanaopenda haki wasimamie haki, na watakuwa nafuraha na amani ya kweli.
Mara zote Lissu anataja haki na uhuru wengine wanataja tu waombewe na kumtaja Mumgu neno haki halipo. Mungu wetu ni wa haki. Usipotenda haki wewe si wa Mungu.
 
Yanayosemwa yote yanaweza kuwa sahihi lakini kuna jambo ambalo sisi sote hatulijui yaani nguvu ya wakati na mapenzi ya Mungu
Hivi ni vitu viwili ambavyo hakuna mwanadamu anayeweza kuvipinga.

Wakati mtimilifu wa jambo kuanza au kuisha ukifika hata ufanyeje huwezi zuia jambo litatokea tu. Mapenzi ya Mungu juu ya jambo fulani yakifika pia hayapingiki.

Kwa muktadha huu hata watawala na taasisi muda wa kuwepo madarakani ukifika au kuisha jambo hilo huwa hivyo kwa namna rahisi sana
 
Sina Hofu kuhusu Dkt. Magufuli Kushinda tena Urais ila Mimi masikio yangu nitayatega katika Ubunge Majimbo ya Kawe, Arusha na Mbeya Mjini tu.
 
Back
Top Bottom