Mimi nipo tayari kujitolea kwa faida ya nchi yanguKama wagombea tu hawana pesa,za kuwalipa mawakala tutapata wapi?
Hakuna MTU anaichoka helaaa sasa Kama manachangisha pesa za kampeni mtaweza kuwalipa wasimamizi kweli Jamaa amewaambia point hii ni Vita Halafu nyie mnambinu chache Sana
Kumbe nsio plan B yenu. Haya hiyo mtashindwa njooni na Plan D ambayo nayo mtaangukia pua.Tatizo hao ni manyumbu, yanashangilia kujaza watu na kutukana.
Mara zote Lissu anataja haki na uhuru wengine wanataja tu waombewe na kumtaja Mumgu neno haki halipo. Mungu wetu ni wa haki. Usipotenda haki wewe si wa Mungu.Naamini kuwa Kila binadamu Ana hali ya kupenda haki ndani yake,hata Kama ni katili kiasi gani, na vilevile naamini wapenda haki ni wengi kuliko wanaoangalia maslahi binafsi, Hivyo nawaomba wote wanaopenda haki wasimamie haki, na watakuwa nafuraha na amani ya kweli.