Elections 2010 CHADEMA waingiza Mungiki, Intarahamwe kuvuruga uchaguzi Igunga

Elections 2010 CHADEMA waingiza Mungiki, Intarahamwe kuvuruga uchaguzi Igunga

Jamani CCM hakitufai , kama kilitufaa ni enzi hizo , tumia logic kidogo kabisa taifa letu ni masikini chini ya chama gani? jibu CCM ,sasa kwa nini tuendelee kuchagua umaskini? popote pale Tanzania ukichagua CCM usilaumu HALI ngumu ya maisha maana hata ukifanya kazi kwa bidii utakumbana na vikwazo.
 
Back
Top Bottom