PreGE2025 CHADEMA waipeleka 'No Reform, No Election' nyumbani kwa baba wa taifa

PreGE2025 CHADEMA waipeleka 'No Reform, No Election' nyumbani kwa baba wa taifa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Bagamoyo

Platinum Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
32,522
Reaction score
37,398

Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa mara, Chacha Heche mapema leo amefika kwa Baba wa Taifa, Julius Nyerere akiwa na ujumbe wake wenye vielelezo vya matukio yaliyojitokeza katika chaguzi za TanzAnia 2019 - 2024 kuzungumza na familia ya Baba wa Taifa Mwitongo Butiama

Katika taarifa aliyowasilisha Mwenyekiti wa mkoa wa mara imesheheni vielelezo vya mauwaji, utekaji, majeruhi, kura bandia, ubambikaji, kesi nyakati za uchaguzi, ukiukwaji wa sheria nyakati za uchaguzi kama uenguaji hovyo wa wagombea.

Mwakilishi wa familia ya Baba wa Taifa,
Mzee Madaraka Nyerere amepokea ripoti hiyo.

Imetolewa na Idara ya Habari na Mawasiliano CHADEMA mkoa wa Mara
26/3/2025
 
Wamempelekea nani sasa? Hao watoto wa mchongameno ambao wanakijiji wanawafukuza kwenye vikao au?
 
Madaraka ameshaweka vitu kichwani hawezi kuhangaika na makaratasi ya kuokoteza.

Halafu huyu Heche kama tayari kawaka, ngozi yake imefubaa
 
Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa mara, Chacha Heche mapema leo amefika kwa Baba wa Taifa, Julius Nyerere akiwa na ujumbe wake wenye vielelezo vya matukio yaliyojitokeza katika chaguzi za TanzAnia 2019 - 2024 kuzungumza na familia ya Baba wa Taifa Mwitongo Butiama

Katika taarifa aliyowasilisha Mwenyekiti wa mkoa wa mara imesheheni vielelezo vya mauwaji, utekaji, majeruhi, kura bandia, ubambikaji, kesi nyakati za uchaguzi, ukiukwaji wa sheria nyakati za uchaguzi kama uenguaji hovyo wa wagombea.

Mwakilishi wa familia ya Baba wa Taifa,
Mzee Madaraka Nyerere amepokea ripoti hiyo.

Imetolewa na Idara ya Habari na Mawasiliano CHADEMA mkoa wa Mara
26/3/2025
🤣🤣
20250327_151440.jpg
 
Familia ya Baba wa Taifa nayo ipaze sauti hadi Kizimkazi kwamba waachieni Wananchi wachague Viongozi wawatakao.
 
Chama dola kongwe kinatumia kila aina ya mfumo haramu kujiongezea au kubakiza majimbo chini ya CCM

TOKA MAKTABA :

Tunaufuatilia kwa makini mchakato

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi INEC , Jaji wa Rufani, Jacobs Mwambegele anasema makatibu tawala, wale wale waliosikiliza rufani za uchaguzi uliopita wa Serikali za Mitaa na Vijiji 2024 TAMISEMI ndiyo watakaoratibu mipaka mipya na majimbo mapya.

Gerrymandering:
UGAWAJI WA MAJIMBO KWA MINAJILI YA KUJIHAKIKISHIA KURA

Mwanahistoria nguli Mohamed Said wa JamiiForums anatukumbusha - ''Zanzibar chini ya utawala Waingereza hapakuwa na wizi wa kura. ASP walikuwa wanashindwa kupitia gerrymandering. Huu ni ujanja katika kukata majimbo ya uchaguzi. gerund or present participle: gerrymandering manipulate the boundaries of (an electoral constituency) so as to favour one party or class "

Ramani ikionesha mikoa mipya ya Simiyu, Geita, Katavi, Njombe, Songwe na ule mpya unaopigiwa chapuo mkoa wa Chato uanzishwe.
1743082749184.png

Picha maktaba: mfano kuonesha michezo ya kugawa majimbo kwa kuangalia CCM ijikusanyie wabunge wengi kupitia idadi kubwa ya majimbo bunge yenye idadi ndogo ya wapiga kura.

Ni kweli kwa ajili ya kupeleka huduma karibu na wananchi au ni kwa ajili ya kujiongezea viti vya ubunge na nafasi zingine za kuendelea kutawala?
1743082803012.png

Ramani ya mikoa, iliyogawiwa kwa ustadi wa kuzingatia ushindi

Gerrymandering ni kutengeneza mipaka ya majimbo bunge mengi lengo ili kuhakikishia kupata wabunge wengi na kushinda uchaguzi.

Gerrymandering is to manipulate district boundaries, for political advantage.

gerrymandering
  1. manipulate the boundaries of (an electoral constituency) so as to favour one party or class.
    • achieve (a result) by gerrymandering.
      "an attempt to gerrymander the election result
 
View attachment 3284931
Picha maktaba: mfano kuonesha michezo ya kugawa majimbo kwa kuangalia CCM ijikusanyie wabunge wengi kupitia idadi kubwa ya majimbo bunge yenye idadi ndogo ya wapiga kura.

Ni kweli kwa ajili ya kupeleka huduma karibu na wananchi au ni kwa ajili ya kujiongezea viti vya ubunge na nafasi zingine za kuendelea kutawala?
View attachment 3284935
Ramani ya mikoa, iliyogawiwa kwa ustadi wa kuzingatia ushindi

Gerrymandering ni kutengeneza mipaka ya majimbo bunge mengi lengo ili kuhakikishia kupata wabunge wengi na kushinda uchaguzi.

Gerrymandering is to manipulate district boundaries, for political advantage.

gerrymandering
  1. manipulate the boundaries of (an electoral constituency) so as to favour one party or class.
    • achieve (a result) by gerrymandering.
      "an attempt to gerrymander the election result

Mbali na kupora uchaguzi, kuteka nyara mchakato wa kuelekea uchaguzi ikiwemo kugawanya majimbo ni mbinu - ficho ya CCM kuhakikisha majimbo yanagawiwa baada ya kufanya utafiti mgawanyo huo utawapa ushindi wa uhakika kwa kutumia gerrymandering

TOKA MAKTABA :
14 March 2025

1743083009806.jpeg
 
View attachment 3284944

MADAI YA TUNDU LISSU KUHUSU UWIANO WA IDADI YA WATU NA WABUNGE ITAZINGATIWA ?

Tundu Lissu No Reforms No Election, moja wapo ya reforms ni kuhakikisha uwiano wa watu wanaowakilishwa na wabunge urekebishwe :

"DAR ES SALAAM ILITAKIWA KUWA NA MAJIMBO 25 SIO KUMI" - TUNDU LISSU

View: https://m.youtube.com/watch?v=s4OofpFoCr4

Gerrymandering ni kutengeneza mipaka ya majimbo bunge mengi, mitaa, vitongoji kwa kuweka mipaka / au wingi lengo ili kuhakikishia kupata wabunge, madiwani, wenyeviti wa mitaa, vitongoji na vijiji wengi na kushinda uchaguzi.

MICHEZO MICHAFU YA KUHONGA NA KUGAWA MIPAKA YA MAJIMBO

Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Tundu Antipas Lissu kwa mifano hai ya michezo ngazi ya jimbo akiangalia mgawanyo wa majimbo yenye watu wengi zaidi anagundua kuwa haiwakilishi na idadi inayostahili ya wabunge. Wilaya ya Temeke mkoa wa Dar es Salaam Mwanzo

Mfano mkoa wa Dar es Salaam ulitakiwa kuwa na wabunge wasiopungua 25. Lakini una wabunge wachache sana wakati ina idadi kubwa ya wapiga kura .

Mkoa wa Lindi yenye wabunge 9 huku idadi ya wapiga kura ni ndogo sana. Mkoa wa Tabora ina idadi ndogo ya wapiga kura lakini ina wabunge wa kuchaguliwa 12 huku mkoa wa Tanga wenye idadi ndogo pia ya watu ina wabunge 12. Mikoa hii iliyotajwa kama mfano wa uwiano usiolingana baina ya idadi ya wapiga kura na wingi wa wabunge pia ni maeneo yaliyo ngome ya CCM.

Na kwa hiyo mgawanyo wa majimbo umeiba uchaguzi kwa kutumia mifumo ya kikatiba na kitaasisi kwa maana Tume ya Uchaguzi ni ya rais na mwenye mamlaka ya kutengeneza mikoa ni rais na mteuzi wa viongozi wa Tume ya Uchaguzi ni rais pia. Orodha ya Jumla ya majimbo ya uchaguzi kwa kufuata na tovuti ya bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni majimbo 273 : source : Parliament of Tanzania

Huko nchini Kenya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka ya Majimbo ya Uchaguzi yaani IEBC ndiyo yenye mamlaka ya kutengeneza mipaka ya majimbo ktk Kenya yote inayotumia formula ya idadi ya watu ktk sehemu ndiyo itatoa mwangaza kutakuwepo wabunge wangapi. Sababu ni kuwa nchini Kenya demokrasia inaangazia kuwa wabunge wanawakilisha watu kwa kura na siyo eneo.

Tofauti na Tanzania ambapo ambapo Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC haina nguvu kikatiba kutengeneza majimbo kwa kufuatana na idadi ya wapiga kura.

Mfumo huo wa kuangalia eneo hata kama lina wapiga kura wachache na kuwapatia idadi kubwa ya wabunge huku mikoa kama Dar es Salaam, Mwanza yenye idadi kubwa ya wapiga kura inapewa wabunge wachache sana.

Sababu ni kuwa imeonekana maeneo yenye watu wengi ambao ni wapiga kura huwa wana tabia au mazoea ya kuchagua wapinzani hivyo kwa Tanzania wengi hao wanapewa wabunge wachache ili kudhibiti idadi ya wabunge wa upinzani wanaoweza kuchaguliwa . Parliament of Tanzania

Wawakilishi wa waangalizi wa chaguzi toka ndani na nje wameona mapungufu haya ya kuwa kuna maeneo yana wapiga kura wachache sana lakini ina wabunge wengi, huku kuna maeneo yenye wapiga kura wengi inawakilishwa na wabunge wachache sana na hii Indonesia kukosekana uwiano kati ya idadi ya wabunge na wapiga kura wao.

Source : Forbs Media
Tume ya Uhusiano na Uratibu Rasimu ya Warioba ililenga kuhakikisha ... Warioba alisema idadi ya wabunge isizidi 75, Bunge Maalum likasema..... soma zaidi : source : Hotuba ya Jaji Josefu Warioba kuhusu Rasimu ya Katiba ya Tanzania
Gerrymandering is to manipulate district boundaries, for political advantage.
 
Ushindi wa kimya kimya kwa hila kubwa ya kificho inayofanya serikali ya CCM

:FIRE: BREAKING NEWS :
26 February 2025

Tume Huru ya Uchaguzi Yaanza Mchakato Kupitia Tena Majimbo ya Kiuchaguzi, Vigezo 10 Kutumika

​

View: https://m.youtube.com/watch?v=n-EefdSzJ9Q
Ameyasema hayo leo mkoani Morogoro Jaji Jacobs Mwambegele Mwenyekiti Tume Huru ya Uchaguzi wakati akieleza namna ambavyo mchakato wa ugawaji wa majimbo unazingatia vigezo mbalimbali ikiwemo, wastani wa idadi ya watu.Kwa majimbo ya mijini ni kuanzia wastani wa watu 600,000, majimbo ya vijijini kuanzia wastani wa idadi ya watu 400,000.Idadi ya watu itakayo tumika ni iliyotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu NBS, kwa kuzingatia matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022. Mara ya mwisho tume ilichunguza na kugawa mipaka na kugawa majimbo ya uchaguzi mwaka 2015, ambapo majimbo mapya 26 yalianzishwa.
 
Wengi wetu sisi hatuhitaji tu replacement bali tunataka ammendments ya kanuni kwa watawaliwa.
Well and good miaka yote hao waliopitia mlango wa upinzani wako kama wale au zaidi ya wale.
Tunasema mwisho wa unyonyaji uwe mwanzo wa kupata wagombea binafsi.
Mambo ya deal za kipumbavu kuigeuza Bongo kama DRC KONGO hatuhitaji.
Na Jaribu mtapata cha moto.
 
10 Aprili 2025
Dodoma, Tanzania

NO REFORMS NO ELECTION 2025 WABUNGE WACHACHAMAA

View: https://m.youtube.com/watch?v=n9JJNplqYH8

Mbunge Gulamali asisimama kutetea ... kura zipo za kutosha 2025 ... mitano mingine ... wabunge wasiwe na wasiwasi, na pia jeshi letu lipo asema hakuna kuingiwa wasiwasi na No Reforms No Election wala nini
 
Ndio kule lisu alimtukana Nyerere

USSR
 
Back
Top Bottom