CHADEMA waja na mpango mkakati ‘kupindua meza’

CHADEMA waja na mpango mkakati ‘kupindua meza’

Ungejibu kwanini zanzibar inawezekana huku isiwezekane!?
Zanzibar waliandika Katiba mpya mwaka 2008 inayoruhusu SUK.

PILI, Zanzibar Kuna vyama viwili vyenye almost nguvu sawa.

Bara vyama vya upinzani vinategemea hisani ya CCM, havina nguvu ya kimaamuzi ya kushikiniza chochote
 
Hoja muhimu sio historia ya kufungwa mikutano ya kisiasa!

Mikutano ya kisiasa ni takwa namba moja kwenu wanasiasa!
Mnaonufaika moja kwa moja na siasa za majukwaani.

Wananchi wanalo takwa lao kuu,ambalo ni tofauti na nyingi wanasiasa!

Mahangaiko yenu wana siasa ni tofauti na mahangaiko ya wananchi.

Nyinyi ni wanufaika wa mifumo ya utawala,sababu mnanufaika na kodi zetu kupitia Ruzuku mnazopewa kuendeshea siasa!

Wananchi wanaminywa na mifumo hiyo,ili kupata pesa za kuendeshea mifumo yenu.
Ikiwemo pia vyama vya siasa!

Tozo!
Bei juu za bidhaa!
Huduma mbovu za kijamii!
Rushwa!

Ni mambo tunayopambana nayo sisi wanyonge!

Na wanasiasa wa Tanzania,mlikw8sha sema nyingi sio wanyonge!

Kila mtu apambane na hali yake kwa sasa.

Muda utawadia,na tutapata chama sahihi cha kusimama nacho,ambacho sio sehemu ya walamba asali.

10101.
Alamsikhi.
 
Back
Top Bottom