johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mkutano wa Chadema pale Shinyanga Mjini haukuwa na msisimko kwa sababu mambo waliyoongea yalikuwa yanajirudia
Mambo ya DP World yameshawasilishwa kwa Wananchi kwa upana sana kupitia Waraka wa TEC ambao TV Imaan na hata BASUTA wameufanyia rejea
Ni vema sasa Chadema mkajikita kwenye kudai Katiba Mpya
Nawatakia Sabato Njema 😄