wacha waendelee na ndp world watakuja kushtukia 2025 hawajauza sera zao tena sasa hivi wauze sera siyo matusi wananchi waanashindwa kuwaelewa
Chadema ni Jumuiya za Chama kama zilivyo UWT, UV CCM, Jumuiya ya Wazee, ACT, KKKT na Bakwata
suala la Bandari lilipoanza kuibana Serikali kwa hoja kali kali kwa watu wa mwanzo mwanzo kina Shivji, Lipumba n.k kuanza kuponda Serikali nayo ikajikuta haina majibu na haijui itatokaje ghafla Chama pendwa wakaanza kuongelea Uzanzibar wa Rais na Waziri mwenye dhamana na siku chache zijazo wakaanda Mkutano wa hadhara na Maaskofu na Wainjilist pale Temeke kujadili ya Bandari
tulionya sana humu tukasema hawa jamaa wanawatengenezea watawala uchochoro wa kutokea
zamani miaka kama 20 iliyopita maeneo ya Kariakoo ilikuwa Vibaka kabla ya kuiba wanapanga vibaka wenzao wawe wa kwanza kupiga kelele mtu akishaibiwa na kujifanya kama wanamsaidia aliebiwa kumbe kelele nyingi ni za kuvuruga attention na kumsaidia mwizi kuchomoka eneo la hatare
Wazee wa Kitengo wakapata kisingizo ch kuchomekea 'tusichanganye dini na Siasa '
CCM walipovurugana sana 2015 wakati wakijipanga kukinukisha ndani ya NEC wakatokea wahuni wakashauri ' tuwaaache wachague. Mgombea wao na sie tuhamie Chadema'
ngumu sana kueleweka ila bado Tanzania hakijapatika Chama sahihi cha Upinzani