johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Issue ya DPW haitakiwi kupoa.Mkutano wa Chadema pale Shinyanga Mjini haukuwa na msisimko kwa sababu mambo waliyoongea yalikuwa yanajirudia
Mambo ya DP World yameshawasilishwa kwa Wananchi kwa upana sana kupitia Waraka wa TEC ambao TV Imaan na hata BASUTA wameufanyia rejea
Ni vema sasa Chadema mkajikita kwenye kudai Katiba Mpya
Nawatakia Sabato Njema π
Hao jamaa hawawezi fanya jambo bila kusubiri infidel watoe waraka ndipo wapate cha kusema?Waraka wa TEC ambao TV Imaan na hata BASUTA wameufanyia rejea
Uislam ni Dini ya amaniHao jamaa hawawezi fanya jambo bila kusubiri infidel watoe waraka ndipo wapate cha kusema?
Mkuu. johnthebaptist Mimi nina maoni tofauti kidogo kwa hilo jambo.Mkutano wa Chadema pale Shinyanga Mjini haukuwa na msisimko kwa sababu mambo waliyoongea yalikuwa yanajirudia
Mambo ya DP World yameshawasilishwa kwa Wananchi kwa upana sana kupitia Waraka wa TEC ambao TV Imaan na hata BASUTA wameufanyia rejea
Ni vema sasa Chadema mkajikita kwenye kudai Katiba Mpya
Nawatakia Sabato Njema [emoji1]
Nimekuelewa Lakini waje na mbinu mpya ya ufundishajiInashangaza sana kuwa hata wewe johnthebaptist huwezi kuelewa connection ya matatizo ya nchi hii likiwemo la mikataba wa bandari/DP World na udhaifu wa katiba tuliyonayo..
Ndo kusema, la mkataba wa bandari na DP World limeinogesha na kuiongezea tu nguvu agenda ya umuhimu kuandika katiba mpya Tanzania. Ni kwa mantiki hii kuwa, huwezi kuongelea katiba mpya bila kuihusisha na majanga kama hili la mkataba wa bandari/DP World na mapungufu makubwa ya muungano wa Tanganyika & Zanzibar..
Ingekuwa ni mwalimu anafundisha darasani tunasema, mkataba wa bandari na bubwasha linaloitwa DP World ni zana ya kufundishia (teaching aid) ya mada inayoitwa UMUHIMU WA KATIBA MPYA...
Kwa hiyo CHADEMA wako sawasawa kabisa..
Mkutano wa Chadema pale Shinyanga Mjini haukuwa na msisimko kwa sababu mambo waliyoongea yalikuwa yanajirudia
Mambo ya DP World yameshawasilishwa kwa Wananchi kwa upana sana kupitia Waraka wa TEC ambao TV Imaan na hata BASUTA wameufanyia rejea
Ni vema sasa Chadema mkajikita kwenye kudai Katiba Mpya
Nawatakia
Wewe ni nani wa kuwapangia? Unaonaje ukija na hiyo mbinu wewe?Nimekuelewa Lakini waje na mbinu mpya ya ufundishaji
Hiyo wanayoenda nayo na kutumia ndiyo mbinu sahihi ya kufundisha somo la UMUHIMU WA KATIBA MPYA na wapinzani wao wakuu - CCM wanaelewa kabisa kuwa walilikoroga wenyewe na inawawia ngumu sana kudhibiti uharibifu huo waliokwisha kuufanya wenyewe..Nimekuelewa Lakini waje na mbinu mpya ya ufundishaji
wanasiasa makini wanaweza kuufanyia kazi ushauri huu, lakini wanaharakati Lazima wakushukie kama mwewe na matusi juu π³Mkutano wa Chadema pale Shinyanga Mjini haukuwa na msisimko kwa sababu mambo waliyoongea yalikuwa yanajirudia
Mambo ya DP World yameshawasilishwa kwa Wananchi kwa upana sana kupitia Waraka wa TEC ambao TV Imaan na hata BASUTA wameufanyia rejea
Ni vema sasa Chadema mkajikita kwenye kudai Katiba Mpya
Nawatakia Sabato Njema π
Kuna Kipengele cha katiba kinazuia wewe kufanya hayo ambayo wao hawafanyi?Ulichosema ni kweli.
Kwa sasa wameondoka kwenye reli
Nyingi wote ni vichwa maji tu! Unaona issue ya bandari ni ndogo wakati unahusu mapato na mapato ndo uhai wa nchi! Acheni propaganda za ukada!wanasiasa makini wanaweza kuufanyia kazi ushauri huu, lakini wanaharakati Lazima wakushukie kama mwewe na matusi juu π³
Kuna sheria inakubana wewe kuyafanya hayo wasio yafanya wao?Mkutano wa Chadema pale Shinyanga Mjini haukuwa na msisimko kwa sababu mambo waliyoongea yalikuwa yanajirudia
Mambo ya DP World yameshawasilishwa kwa Wananchi kwa upana sana kupitia Waraka wa TEC ambao TV Imaan na hata BASUTA wameufanyia rejea
Ni vema sasa Chadema mkajikita kwenye kudai Katiba Mpya
Nawatakia Sabato Njema [emoji1]
Limeshughulikiwaje? Hebu thibitisha.Mkutano wa Chadema pale Shinyanga Mjini haukuwa na msisimko kwa sababu mambo waliyoongea yalikuwa yanajirudia
Mambo ya DP World yameshawasilishwa kwa Wananchi kwa upana sana kupitia Waraka wa TEC ambao TV Imaan na hata BASUTA wameufanyia rejea
Ni vema sasa Chadema mkajikita kwenye kudai Katiba Mpya
Nawatakia Sabato Njema [emoji1]
nilijua feminist hawezi tulia π€Nyingi wote ni vichwa maji tu! Unaona issue ya bandari ni ndogo wakati unahusu mapato na mapato ndo uhai wa nchi! Acheni propaganda za ukada!
Kwani kulikuwa na tatizo katika Hilo? Hebu yaeleze...kama yalikuwepo au yapo..Mkutano wa Chadema pale Shinyanga Mjini haukuwa na msisimko kwa sababu mambo waliyoongea yalikuwa yanajirudia