Chadema Wajikite kwenye Katiba Mpya suala la DP World limeshashughulikiwa na Waraka wa TEC pamoja na akina Mwabukusi!

DPW itaongezea sana ushawishi na credibility ya TEC. TEC wameamua kuwa upande sahihi wa historia. Muda utadhihirisha haya.
Haijasaidia chochote... Do World lazima wafanye kazi
 
wanasiasa makini wanaweza kuufanyia kazi ushauri huu, lakini wanaharakati Lazima wakushukie kama mwewe na matusi juu 😳
makuwadi ya warabu yameshindwa kutetea mkataba wa bandari baada ya chongolo kukosa watu mwanza akaona bora akae kimya sasa nyie makuwadi mliobaki mnataka chadema iache kunusuru bandari kwa upuuz wa mleta mada na makuwadi ya dpworld.
 
Ccm yamegeuka makuwadi na madalali ya warabu dpworld kuuza bandari milele.
 
sizijui wewe na wajinga wenzio ndiyo mnazijuwa sasa endeleeni msije kusema hatukuwaambia mtakuja kulia kama mbwa midomo juu
Nyie makuwadi ya warabu kama hamtaki kisikia swala ba bandari hamieni kwa mabwana zenu dubai lakin mkibaki Tanganyika swala la bandar mtalisikia mpaka muwe wendawazimu, pia nyie makuwadi ya dpworld mnapaswa kuelewa kuwa hakuna mtu anayetegemea ushauri wenu nyie makuwadi ya warabu ndio maana hata chongolo alijaribu kuja mwanza kuhadaa watu akaambulia aibu hadi sasa ameamua kujikalia kimya ila nyie nguruwe na makuwadi ya warabu mliosalia tunawataka muendelee kuwashabikia mabwana zenu ili 2025 tukutane vizuri wajinga nyinyi.
 
Waraka wa TEC ni wa Moto umepenya vizuri kila kona, Asikwambie mtu Kuna wazee wazito wanaitukana sana serikali hii
 
We kama nani kuwapangia ratiba. Katiba mpya warioba alishamaliza, sasa unataka nini?
 
Elimu isambazwe maeneo yote Wananchi wajue ubovu wa mkataba huu wa Kimangungo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…