CHADEMA wajitokeza UDOM kuwasaidia wanafunzi wasio na mkopo mpaka sasa

CHADEMA wajitokeza UDOM kuwasaidia wanafunzi wasio na mkopo mpaka sasa

BAPUPEGHE

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2012
Posts
220
Reaction score
38
Wanabodi wa jf

Katika hali ambayo CHADEMA wamefanya la maana Mpango wao wa kutaka kubeba zigo la serikali kuwapatia wanafunzi pesa ya kujikimu.

Kiongozi mmoja ambaye pia ni Mbunge wa CHADEMA jana alisema anaenda Dsm na watahakikisha wanaanda mpango wa haraka kuwaokoa Wanachuo hao ambao serikali ya CCM Imewakacha.

Amesema wanachuo ambao mpaka sasa hawajapata fedha zao wanaishi maisha ya dhiki na anasa.

Hata hivyo taarifa za ndani za wanafunzi chuoni hapo zinasema hata baadhi ya Makada hawajapa mkopo, Waliotajwa ni pamoja na Mwenyekiti wa CCM wa Chunya Sauli Mwaisenye na Katibu wa CCM UDOM NA MJUMBE WA UVCCM TAIFA, Elius Ndabila.

Hata hivyo walivyopigiwa simu Kuulizwa suala hilo Ndabila alisema nenda bodi utapata taarifa.

Mpango huo wa CHADEMA Unaratibiwa na Wabunge wake na wamesema watawasaidia wanafunzi bila kujali rangi, dini wala itikadi. Wamesema hawana uwezo wa kuwapa fedha ya kuwaridhisha kama Bodi badala yake kuwapunguzia ukali wa maisha.

NAWASILISHA.
 
Nashauri CDM ianzishe mfuko wa elimu ya juu,utakaokua na kazi ya kukusanya pesa kutoka kwa kila mtanzania mpenda maendeleo ya elimu,uwe mfuko wa wazi,then hiyo pesa iwe inasaidia penye mapungufu kama hapo UDOM,SAUT na kwingineko kwa lengo la kupunguza ukali wa maisha kwa wanafunzi vyuoni.CDM haina budi kufanya hilo kwasababu ndio inayoongoza nchi,na kwa nguvu ya umma hii ni kazi rahisi sana.binafsi kila mwisho wa mwezi ntakua nachanga shs 50,000 kwa ajili ya kutunisha mfuko huo

Nawasilisha hoja.
 
Nakuhakikishia wakifanya hivyo hata kwa wanafunzi 100 tu, kesho yake serekali ya Ma CCM itatangaza mikopo kwa wote na itapatikana kwa asilimia 100 kwa uhakika bila kuchelewa.
 
Ni jambo zuri tena la busara sana kwa chama makini cha watanzania.Lakini ni vizuri zaidi huo mkakati ukaangaliwa kwa upana sio 2 UDOM bali uwekwe mfuko maalum ambao utasaidia hata wanafunzi wengine kunufaika hata kidogo...
 
Vile vigenge vya wanaubaguzi wa kiislamu pale UDOM bado vipo maana mkuu wa nchi anavihudumia kwa mlango wa Nyuma sasa inakuaje maana jamaa wanaongozwa na KIKULA mwenyewe katika kunyima wakristo mikopo pale UDOM ili wawaachie waislamu kile chuo...Wewe umeshawahi kuona wapi Chief Accountant ana elimu ya form two kutoka zanzibar..Nenda UDOM utayakuta hayo aliyoyapandikiza JK...
 
chadema okoa jahazi hali tete nackia wanafunzi wanajiuza sana:target::A S soccer:
 
CHADEMA utaipenda tu hata kama siyo leo basi kesho, !
 
ni jambo zuri tusiwatupe wenzetu hawa magamba wataona haya tu
 
nyie nyie bora umuhudumie mbuzi au ng'ombe siku akikosa chakula unaweza mpita usisikie manunguniko yake si binadamu ni kazi sana kuhusu hili CHADEMA wanapiga siasa mungu nawambia tutaona
 
Yaani JF ina mambo mengi ila ukichunguza mengi ni ya UONGO- Acheni UDOM kwa WANA UDOM- kwa ukitaka kujua utamu wa ngoma lazima uicheze- ACHENI UNAFIKI
 
Vile vigenge vya wanaubaguzi wa kiislamu pale UDOM bado vipo maana mkuu wa nchi anavihudumia kwa mlango wa Nyuma sasa inakuaje maana jamaa wanaongozwa na KIKULA mwenyewe katika kunyima wakristo mikopo pale UDOM ili wawaachie waislamu kile chuo...Wewe umeshawahi kuona wapi Chief Accountant ana elimu ya form two kutoka zanzibar..Nenda UDOM utayakuta hayo aliyoyapandikiza JK...

Mhh... Mbona kali hii. Ndio maana watu wakisema UDOM ni chuo cha CCM baadhi ya watu wanang'aka.
 
nyie nyie bora umuhudumie mbuzi au ng'ombe siku akikosa chakula unaweza mpita usisikie manunguniko yake si binadamu ni kazi sana kuhusu hili CHADEMA wanapiga siasa mungu nawambia tutaona

Je unapendekeza nini? Tumesikia huko SAUT wanachuo wakifukuzwa, UDOM hali ni tete. Hizo unazosema ni siasa za CHADEMA ndizo zitakawaoka wana UDOM, kwa kuwa CCM hawatokubali ngome yao iangamie, hivyo, haraka iwekenavyo hawa wanachuo watapata mkopo.
 
Vile vigenge vya wanaubaguzi wa kiislamu pale UDOM bado vipo maana mkuu wa nchi anavihudumia kwa mlango wa Nyuma sasa inakuaje maana jamaa wanaongozwa na KIKULA mwenyewe katika kunyima wakristo mikopo pale UDOM ili wawaachie waislamu kile chuo...Wewe umeshawahi kuona wapi Chief Accountant ana elimu ya form two kutoka zanzibar..Nenda UDOM utayakuta hayo aliyoyapandikiza JK...

Think twice,lete hoja.
 
Waende na SAUT Mwanza. Kule Wenje kawatelekeza vijana wake, anasema siyo jukumu lake kuwasaidia...
 
Waende na SAUT Mwanza. Kule Wenje kawatelekeza vijana wake, anasema siyo jukumu lake kuwasaidia...

umeona sasa hii wenje anawakataa wapiga kura wake ili hali wana CCM wanaamini ngome kubwa ya upinzani wao ipo nyegezi na ndiyo ilimfanya mr masha kuachia kiti na hasa SAUT leo hii anawakana kusemea tu kuwa jamani vip katika jamii wahusika wakasikia
 
Back
Top Bottom