CHADEMA wakataza


Asha,
Mimi msimamo wangu haubadiliki, mwelekeo ndio ninaobadilisha kulingana na ubora wa postings. Zikiwa za kijinga-kijinga naziminyia. Hii ya kwako ilikuwa bado kidogo nayo ningeishiti, ila kwa leo nimekupa benefit of the doubt. If I decide to go -ve or bombastic, you will not be able to control me and thus why I sometimes decide to just ignore some of your postings, ndio maana mwenzako nikamuwekea huu ujumbe;

http://www.jamboforums.com/showpost.php?p=187101&postcount=173


Sasa kwa vile umerudi hebu soma tena hii message na kutupatia majibu maana naona kidogo sasa umetulia;

http://www.jamboforums.com/showpost.php?p=185769&postcount=143




______________________________
 
Nimemuandikia aliyeniandikia, ajieleze. Na nimemueleza kwamba ofisi ya habari na uenezi imekana kukataza. Nasubiri anijibu ndio nimeamua cha kufanya.

Asha



Ingawa imechukua muda sasa, lakini tutasubiri na kuendelea kukumbushana.


_________________________________
 



Gamba,
Signature yako inajieleza vizuri zaidi. Nakubaliana na msg yako yote.



____________________________
 

Kubwa Jinga:

Nashuru sana, na wewe najua sasa umetulia, hebu naomba basi uje ujibu hoja zangu hapa:
http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=12123&page=29

Au nenda ukurasa wa 32 wa thread ya “Dr Slaa for President 2010”

Asha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…