Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Icadon, very good point.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
you have just spewed rants .... nothin was there worth of my response! Wanaojali nchi hii hawasemi kuwa ccm ibaki madarakani!
Mwanakijiji
Asante sana jamani kwa hiyo namba ya simu. Nimezungumza na ofisi ya Bwana Tumbo wamesema wao kama chama hawajakataza chochote. Namwandikia email huyu mtu aliyesema kuwa ni msemaji wa CHADEMA anieleze imekuwaje. Asipoweza kunipa majibu ya kueleweka niweka wazi email yake aliyoniandikia wiki jana
Asha
Usilete hapa amri zako za kutaka ninyamaze wakati ukieneza chuki zako za kidini hapa. Toka lini umejenga heshima kwa Mkjj na FMES?
Kubwajinga
How can I help you? You can PM me if you prefer.
Ametumia email ya gmail, ila ameandika chini jina lake kuwa ni afisa, kurugenzi ya habari na uenezi
Asha
KJ, you are trying to make a mountain out of mole hill.. hakuna ushahidi wowote kuwa Chadema wameingilia JF; na hakuna ushahidi wowote kuwa waliomtumia Asha ni watu wa Chadema ni wewe ndiyo umeamini bila kuhoji kwa kiasi kikubwa kama ni kweli huyo aliyetuma hiyo email ni wa Chadema. Ni lazima tujifunze kuhoji kabla hatujafikia mahali pa kujaribu kuweka hoja kuwa ni Chadema Vs JF au JF Vs anybody else. Mambo ya wanachama wenyewe wakiona yanahusu JF watasema.
Usilazimishe kuwa hili ni suala la JF. Asha anajua kama anaona linahusiana na haki zake humu basi linaweza kushughulikiwa. Hadi hivi sasa hakuna ushahidi wa JF kuingiliwa na Chadema kwenye hili suala la Dada Asha.
Usiniambie kuwa ushahidi wa maneno ya mtu mmoja umekuteka hadi umefikia kuoa JF inakabiliwa na tishio kubwa? Je, akirudi na kusema hiyo email haikutoka kwa Chadema, utaomba radhi Chadema? au utasema "information ulizokuwa nazo zilikufanya uamini"?
Carefull now mjj your being watched, every move u make, every comments u post, every thanks u give........Lakini ukweli ni kuwa hii inashusha hadhi yako, na pia inaongeza zile hisia za kuwa labda MJJ is a paid operative wa chama fulani. It is your way of doing business and we'll have to respect and accept it, but why not be open like Asha, Mnyika n.k.?? I am deeply disappointed with you, MJJ.
Heshima wakuu,
Hivi ikitokea ikaonekana kwamba au ikagundulika kwamba hiyo Mail haijatoka chadema hao walioanza kuikandia chadema watafanyaje? Hivi hiyo mail haiwezi kuwa imetoka kwa mafisadi wachache kutoka CCM ambao wanaona Asha anaitangaza chadema?
Official emails zote za CHADEMA hutumia chedema.net domain. Hiyo ilikuwa kasa!
Asha,
Nafuu umeibuka maana niliamua nisimuachie MJJ mpaka hili lijadiliwe. Fortunately umetua na maelezo ya ku-question validity ya hiyo email uliyotumiwa. Moderator 'Ole' naye akarespond wito wangu 4mins baadaye, na hatimaye MJJ naye akawa angalau 5mins later. Nafikiri hii ilikuwa the best 10mins ya debate so far maana wote mlijitokeza, what a coincidence.
Hapo awali, Mugerezi na Kana-ka-Nsunga, walishali-raise hilo email kuwa labda haitoki kwa uongozi wa Chadema, lakini inaelekea bibie Asha alikuwa na uhakika wa source na wala MJJ pia haku-question validity wakati huo. Kwa hiyo hivi sasa unaposema kuwa huna uhakika, inatia wasiwasi kidogo, but will take your word for it.
Kwa sasa nitasubiri posting ya hiyo email yako hapa mtndandaoni na 'majibu' toka Chadema ndio tujue cha kujadili.
Mkuu Kitila,
The soln is simple, let Asha have her signature back. _
sijui una tatizo gani sasa; hivi unafikiri mimi nasoma kila post. NIkijibu tatizo nisipojibu tatizo. Sasa unataka kusubiri wakati ulishatoa hukumu. Hekima haituongozi hivyo.
Mkuu MJJ,
Sidhani kama ukiweka majibu ya kutosheleza kama kuna atakayeendelea kukufuatilia. Lakini ukiwa na questionable answers, ni haki ya mtu yeyote kuendelea kuchoknoa.
Ila kiukweli ni kuwa nimekuwa-disappointed sana na partisanship yako. Sidhani kama kuna mtu yeyote ambaye anaweza akawa na mchango wa maana hapa mtandaoni kama atakuwa anaweka upendeleo wa kichama mbele kuliko maslahi ya wanaJF au nchi.
____________________________
Out of the topic, hivi kwa nini mtu ukiwa critical na mtizama pande zote za shilingi unapewa majina mengi kama mtetezi/kuwadi/kibaraka wa mafisadi and so forth?
Mkuu MJJ,
Sidhani kama ukiweka majibu ya kutosheleza kama kuna atakayeendelea kukufuatilia. Lakini ukiwa na questionable answers, ni haki ya mtu yeyote kuendelea kuchoknoa.
Ila kiukweli ni kuwa nimekuwa-disappointed sana na partisanship yako. Sidhani kama kuna mtu yeyote ambaye anaweza akawa na mchango wa maana hapa mtandaoni kama atakuwa anaweka upendeleo wa kichama mbele kuliko maslahi ya wanaJF au nchi.
kuna mtu mmoja ambaye naweza kucontrol anavyojisikia kuhusu mimi kuandika au kuchangia ni mtu mmoja tu.... me. So I can't help you with your disappointment. Sorry.