CHADEMA wakataza

CHADEMA wakataza

Mimi sio mwana CCM.. mimi ni Mtanzania.. I do not condone the perpetuation of CCM's rule to the detriment of the people pf the Republic. CCM imeoza.. it needs to be revamped or replaced... Both of which are difficult.. the people in power.. (government and legislature and even some elements of the judiciary) are of the opinion that things are fine and change will not happen.. Kureplace CCM is a joke because hakuna any better alternative.. its like two different types of cancer.... they have different characteristics but all kill.. Parliamentary democracy hardly works in rich conutries let alone in poor countries with lack of adequate education. Tutakuwa kama Kenya, where an elite will develop... entrench itself and RULE everyone else.. Revolutions may come and go but they will just create a new elite..(history has proven this countless times).. SO the oposition in their current form and capacity is a joke.lol They cant even demonstrate democracy in their own internal systems.lol.. or good governance therein. Wataweza nchi?

So my Hon. Friend "Kwikwikwi" right back at you... although I do not see the humour in the current state of turmoil that my country is placed in bu the CCM regime or the overly theatrical attempts by opportunistic persons to overturn this problem without once addressing the real issues. PLEASE.. CHADEMA, CCM,CUF whatever u call them.. they are symptoms of the same disease.

Do you need something to drink?
 
mzee mimi ni mtu mmoja; nachangia ninachochagua na natolea maoni ninachoamua. Sasa nikiamua kutochangia pia ni uamuzi wangu. Nafuatilia hoja zako na endelea kuzijengea hoja siyo kila mtu achangie. Nafurahishwa na hoja zako zisimamie tu kwa nguvu na mimi kutochangia kusiwe tatizo. Nimeshatoa msimamo wangu kuhusu mada yako. Nadhani tunaelewana au hadi nijitokeze kulaani ndio hoja yako itakuwa na nguvu?

Mkuu MJJ,
Nakubaliana na uamuzi wako na siwezi kukulazimisha maana ndio upungufu wa Demokrasia wakati mwingine. Lakini nitashangaa na labda kusikitishwa sana kama utaacha kuchangia. Hili kwa maoni yangu, ni suala ambalo linahitaji kuchukuliwa hatua na wana-JF kwa ujumla, kwani inaelekea uhuru na usalama kwa wale wanaojulikana, k.m. Kitilya, unaweza kuwa hatarini.

Once again, I need to hear from you, MJJ and the Moderator.
 
Bibie MwK,
Then, kama huna la kutusimulia, tafadhali sana kaa kimya. Ukikaa kimya tutashukuru sana ili wale wenye bongo zao zilizotulia kama,FMES, MJJ, Savimbi n.k., waendelee na mjadala. Kumbuka, you can prove your worth with your actions, not with a foul mouth.

KJ
achana nae huyu pimbi Mwwanakijiji alisema nimemkimbia lakini leo anajibu na jina lingine la kike ili apate SYMPATHY ya wana JF? huo ni utapeliwa wa kutumia gender ya kike kupenyeza sera za NGO yao.
 
Mkuu MJJ,
Nakubaliana na uamuzi wako na siwezi kukulazimisha maana ndio upungufu wa Demokrasia wakati mwingine. Lakini nitashangaa na labda kusikitishwa sana kama utaacha kuchangia. Hili kwa maoni yangu, ni suala ambalo linahitaji kuchukuliwa hatua na wana-JF kwa ujumla, kwani inaelekea uhuru na usalama kwa wale wanaojulikana, k.m. Kitilya, unaweza kuwa hatarini.

Once again, I need to hear from you, MJJ and the Moderator.

kwi kwikwi kwi,

yaani hata unatia aibu!
 
KJ
achana nae huyu pimbi Mwwanakijiji alisema nimemkimbia lakini leo anajibu na jina lingine la kike ili apate SYMPATHY ya wana JF? huo ni utapeliwa wa kutumia gender ya kike kupenyeza sera za NGO yao.

Kuita membaz pimbi sidhani kama ni suluhisho la matatizo yako au kile unachotaka kuanzisha hapa baada ya kufungiwa kwa kutumia lugha chafu.
 
Do you need something to drink?

Your lack of insight or response to my arguments demonstrate ur true nature... An outspoken radical, the kind that history ridicules, the kind that seldom achieves any real CHaNge.. maybe u need a wakeup CALL and then Breakfast... coffee maybe. Ulitaka hoja hiyo ndio hoja yangu... chadema is a joke.. so is ccm.. tujadili matatizo ya kweli yanchi yetu... assuming you care that is!
 
KJ, nadhani uamuzi wa maana ni wewe kuwauliza Chadema kwanini wamemtaka huyu dada kuacha kutumia signature hiyo na ni msingi gani uliwafanya wafanye hivyo na unaweza kuwaambia unapinga kitendo hicho.

Zaidi ya yote, unaweza kumshawishi dada huyo kurudi na kutumia hiyo signature as an act of defiance. Sidhani kama Chadema au yeyote aliyemuambia asitumie alikuwa amemshikia bunduki kisogoni.

Naelewa concern yako, lakini la maana ni wewe kuwaandikia au kuwapigia simu watu wa Chadema na kuuliza kama ni kweli walifanya kinachodaiwa na kama ni kweli basi waambie kuwa ni kitendo cha kidikteta n.k n.k

Usisubiri watu wengine kufanya kile ambacho wewe mwenyewe unaweza.

:Namba ya Erasto Tumbo: 0713 474707 (PR)
: Namba ya Ali Chitanda : 0717 996604

Natumaini itakusaidia. Namba za viongozi wengine zinapatikana kwenye Chadema.net miye nimeclick tu nikazipata.

Natumaini hiyo itakusaidia katika kutafuta suluhisho muafaka la suala hili na hasa kiini na ukweli wake.

Kila la heri.

M. M.
 
you have just spewed rants .... nothin was there worth of my response! Wanaojali nchi hii hawasemi kuwa ccm ibaki madarakani!
 
KJ, nadhani uamuzi wa maana ni wewe kuwauliza Chadema kwanini wamemtaka huyu dada kuacha kutumia signature hiyo na ni msingi gani uliwafanya wafanye hivyo na unaweza kuwaambia unapinga kitendo hicho.

Zaidi ya yote, unaweza kumshawishi dada huyo kurudi na kutumia hiyo signature as an act of defiance. Sidhani kama Chadema au yeyote aliyemuambia asitumie alikuwa amemshikia bunduki kisogoni.

Naelewa concern yako, lakini la maana ni wewe kuwaandikia au kuwapigia simu watu wa Chadema na kuuliza kama ni kweli walifanya kinachodaiwa na kama ni kweli basi waambie kuwa ni kitendo cha kidikteta n.k n.k

Usisubiri watu wengine kufanya kile ambacho wewe mwenyewe unaweza.

:Namba ya Erasto Tumbo: 0713 474707 (PR)
: Namba ya Ali Chitanda : 0717 996604

Natumaini itakusaidia. Namba za viongozi wengine zinapatikana kwenye Chadema.net miye nimeclick tu nikazipata.

Natumaini hiyo itakusaidia katika kutafuta suluhisho muafaka la suala hili na hasa kiini na ukweli wake.

Kila la heri.

M. M.

Mkuu MJJ,
  1. Inaonekana kama vile unakwepa kulijadili hili la CHADEMA kuingilia JF, lakini kwa upande mwingine naona, naona umekuwa active kwenye kujadili yaliyoifika Mwanahalisi. Nafikiri chariti inaanzia nyumbani kiasi cha kunipa kunitia wasi wasi wa jinsi tunavyoacha kuhangaika na ya kwetu. Hii inaleta maswali mengi na kwa kweli inasikitisha.
  2. Pia sidhani kuwa hili tunahitaji kuwauliza CHADEMA. Hili ni kwa sisi kulijadili hapa hapa na labda kupata maelezo toka kwa CHADEMA. Ikibidi tuli-condemn na kuwataka waombe msamaha. Asha ni muathirika kwenye hili na inaelekea hana nguvu ya kupambana na wakubwa wake, na ndio maana inabidi JF iingilie.
  3. Hili si suala la individuals, kama JF imeingiliwa inabidi sote tushiriki kuilinda. Kwa hiyo, ingawa nashukuru kwa hizo contacts ulizonipa, lakini nafikiri ingekuwa vema kupata mchango wako, moderator na wengineo ili tukajadili yale niliyouliza hapo awali, tujue hatua gani ya kuchukua, hasa baada ya wewe pia kuona kuwa huo ulikuwa ni udikiteta.
__________________
 
Nakuhakikishia kuwa utarudisha hii thread over and over hadi uchoke!
 
Mwanakijiji

Asante sana jamani kwa hiyo namba ya simu. Nimezungumza na ofisi ya Bwana Tumbo wamesema wao kama chama hawajakataza chochote. Namwandikia email huyu mtu aliyesema kuwa ni msemaji wa CHADEMA anieleze imekuwaje. Asipoweza kunipa majibu ya kueleweka niweka wazi email yake aliyoniandikia wiki jana

Asha
 
Kubwajinga

How can I help you? You can PM me if you prefer.
 
Mwanakijiji

Asante sana jamani kwa hiyo namba ya simu. Nimezungumza na ofisi ya Bwana Tumbo wamesema wao kama chama hawajakataza chochote. Namwandikia email huyu mtu aliyesema kuwa ni msemaji wa CHADEMA anieleze imekuwaje. Asipoweza kunipa majibu ya kueleweka niweka wazi email yake aliyoniandikia wiki jana

Asha

Very simple kwani huyo mtu aliyekutumia email ametumia email ya CHADEMA au binafsi, CHADEMA wana msemaji?

Kama katumia email binafsi basi kuna walakini.
 
Ametumia email ya gmail, ila ameandika chini jina lake kuwa ni afisa, kurugenzi ya habari na uenezi

Asha
 
Mkuu MJJ,
  1. Inaonekana kama vile unakwepa kulijadili hili la CHADEMA kuingilia JF, lakini kwa upande mwingine naona, naona umekuwa active kwenye kujadili yaliyoifika Mwanahalisi. Nafikiri chariti inaanzia nyumbani kiasi cha kunipa kunitia wasi wasi wa jinsi tunavyoacha kuhangaika na ya kwetu. Hii inaleta maswali mengi na kwa kweli inasikitisha.
  2. Pia sidhani kuwa hili tunahitaji kuwauliza CHADEMA. Hili ni kwa sisi kulijadili hapa hapa na labda kupata maelezo toka kwa CHADEMA. Ikibidi tuli-condemn na kuwataka waombe msamaha. Asha ni muathirika kwenye hili na inaelekea hana nguvu ya kupambana na wakubwa wake, na ndio maana inabidi JF iingilie.
  3. Hili si suala la individuals, kama JF imeingiliwa inabidi sote tushiriki kuilinda. Kwa hiyo, ingawa nashukuru kwa hizo contacts ulizonipa, lakini nafikiri ingekuwa vema kupata mchango wako, moderator na wengineo ili tukajadili yale niliyouliza hapo awali, tujue hatua gani ya kuchukua, hasa baada ya wewe pia kuona kuwa huo ulikuwa ni udikiteta.
__________________

KJ, you are trying to make a mountain out of mole hill.. hakuna ushahidi wowote kuwa Chadema wameingilia JF; na hakuna ushahidi wowote kuwa waliomtumia Asha ni watu wa Chadema ni wewe ndiyo umeamini bila kuhoji kwa kiasi kikubwa kama ni kweli huyo aliyetuma hiyo email ni wa Chadema. Ni lazima tujifunze kuhoji kabla hatujafikia mahali pa kujaribu kuweka hoja kuwa ni Chadema Vs JF au JF Vs anybody else. Mambo ya wanachama wenyewe wakiona yanahusu JF watasema.

Usilazimishe kuwa hili ni suala la JF. Asha anajua kama anaona linahusiana na haki zake humu basi linaweza kushughulikiwa. Hadi hivi sasa hakuna ushahidi wa JF kuingiliwa na Chadema kwenye hili suala la Dada Asha.

Usiniambie kuwa ushahidi wa maneno ya mtu mmoja umekuteka hadi umefikia kuoa JF inakabiliwa na tishio kubwa? Je, akirudi na kusema hiyo email haikutoka kwa Chadema, utaomba radhi Chadema? au utasema "information ulizokuwa nazo zilikufanya uamini"?
 
Ametumia email ya gmail, ila ameandika chini jina lake kuwa ni afisa, kurugenzi ya habari na uenezi

Asha

Wasiliana na kurugenzi ya ya habari ya CHADEMA kuhusu authenticity ya hiyo email lakini again I wouldn't be surprised, maana in a number of occasions nimeona Mnyika anatoa email yake binafsi kwenye maswala yanayohusiana na chama, may be CHADEMA hawana noma na utumiaji wa email binafsi kwenye maswala ya chama.
 
Back
Top Bottom