CHADEMA wakataza

CHADEMA wakataza

you have just spewed rants .... nothin was there worth of my response! Wanaojali nchi hii hawasemi kuwa ccm ibaki madarakani!

Are you some kind of retard? I told you that CCM needs to be replaced and spoke of the related difficulties.... for one they command a certain control over the people of the country or rather a great majority of them.... watu wanahitaji kuwa educated... na we need real opposition which at this particular time HAKUNA.. WEWE ni radical and radicals dont get anything done. thats a fact.
 
Mwanakijiji

Asante sana jamani kwa hiyo namba ya simu. Nimezungumza na ofisi ya Bwana Tumbo wamesema wao kama chama hawajakataza chochote. Namwandikia email huyu mtu aliyesema kuwa ni msemaji wa CHADEMA anieleze imekuwaje. Asipoweza kunipa majibu ya kueleweka niweka wazi email yake aliyoniandikia wiki jana

Asha

Asha,
Nafuu umeibuka maana niliamua nisimuachie MJJ mpaka hili lijadiliwe. Fortunately umetua na maelezo ya ku-question validity ya hiyo email uliyotumiwa. Moderator 'Ole' naye akarespond wito wangu 4mins baadaye, na hatimaye MJJ naye akawa angalau 5mins later. Nafikiri hii ilikuwa the best 10mins ya debate so far maana wote mlijitokeza, what a coincidence.

Hapo awali, Mugerezi na Kana-ka-Nsunga, walishali-raise hilo email kuwa labda haitoki kwa uongozi wa Chadema, lakini inaelekea bibie Asha alikuwa na uhakika wa source na wala MJJ pia haku-question validity wakati huo. Kwa hiyo hivi sasa unaposema kuwa huna uhakika, inatia wasiwasi kidogo, but will take your word for it.

Kwa sasa nitasubiri posting ya hiyo email yako hapa mtndandaoni na 'majibu' toka Chadema ndio tujue cha kujadili.
 
Waheshimiwa!
Hii ni kazi..ukisikia kazi..kweli ni kazi, lakini sindiyo tuliyoiomba!? Ama sivyo, ndugu zanguni?

Acha tu! tuendelee kuongozwa kwa rimoti..maana wa Afrika kuelewana huwa ni taabu kweli, kitu kidogo tu vita! Ndiyo maana hata mavyama yetu yanatushinda kwa sababu ya vijichokochoko visivyoisha!

Usilete hapa amri zako za kutaka ninyamaze wakati ukieneza chuki zako za kidini hapa. Toka lini umejenga heshima kwa Mkjj na FMES?

Wewe unanguo yako ambayo ukijikoki kila mtu anakusifia. Unafika Ofisini kumbe ulisahau kufunga zip, mtu wa kwanza unayekutana naye, huwa unachuki naye bila ya yeye kufahamu. Anakuuliza "vipi mbona hujafunga zip yako ulilala magendo nini? wakati unaondoka akawa amekutazama kwa nyuma anaona tena mkanda umeruka ruksi moja; anakwambia tena " vipi hata mkanda nao mbona umeumeufunga kimakosa?: kwa vile tayari unamchukia unaanza kumtangaza, huyu jamaa bwana ananifuatafuata kweli. Hata kama anakufuatafuata si'kakufanya uwenadhifu!!?

Ukisikia: kuchuja mbu na kumeza ngamia, ndiyo hapo..mambo madogo x2 tunayaona ya maana na kutuumiza vichwa, lakini yale makubwa tunayafunika.
 
Kubwajinga

How can I help you? You can PM me if you prefer.

Moderator Ole,
I was concerned of direct interference by some political parties, in particular CHADEMA in Asha saga. They seem to try to take control of our members, and probably the issues and debates, is this of concern to you or not? What is your opinion? Should other parties allowed to do the same? What action should JF take if this is found to be the case?
 
Heshima wakuu,

Nimeona jina la CHinga liko Banned,hope ni hivyo maanake mods kidogo mlikua mmemchelewesha sana.Wacha akacheze mdako kule mtaani na watotio wenzie.

Mods keep it up,heshima ya JF inarudi
 
KJ, you are trying to make a mountain out of mole hill.. hakuna ushahidi wowote kuwa Chadema wameingilia JF; na hakuna ushahidi wowote kuwa waliomtumia Asha ni watu wa Chadema ni wewe ndiyo umeamini bila kuhoji kwa kiasi kikubwa kama ni kweli huyo aliyetuma hiyo email ni wa Chadema. Ni lazima tujifunze kuhoji kabla hatujafikia mahali pa kujaribu kuweka hoja kuwa ni Chadema Vs JF au JF Vs anybody else. Mambo ya wanachama wenyewe wakiona yanahusu JF watasema.

Usilazimishe kuwa hili ni suala la JF. Asha anajua kama anaona linahusiana na haki zake humu basi linaweza kushughulikiwa. Hadi hivi sasa hakuna ushahidi wa JF kuingiliwa na Chadema kwenye hili suala la Dada Asha.

Usiniambie kuwa ushahidi wa maneno ya mtu mmoja umekuteka hadi umefikia kuoa JF inakabiliwa na tishio kubwa? Je, akirudi na kusema hiyo email haikutoka kwa Chadema, utaomba radhi Chadema? au utasema "information ulizokuwa nazo zilikufanya uamini"?

MJJ,
At least leo umekuwa na jibu badala ya kuendelea kugomea kulijadili hili suala, na kujaribu kulifanya a personal issue. Whether it is a mountain being created from ants hills or is a treatment of symtoms in order to avoid an epidemic, to me all is the same, as long as there is a case to be answered. Moreover, hata Asha alijua kuwa sio personal ndio maana akalileta mtandaoni.

Mwanzoni nilifikiria una-neutral point of views kwenye mijadala, lakini recently imebidi nibadilishe mawazo yangu. Hivi sasa unaonekana wazi kuwa wewe ni advocate wa CHADEMA, which is just fine to me, but at least you should be bold enough to admit.

I am also paying close attention of your questionable multiple support of Mwafrika wa Kike, no matter how dumb her arguments are. Hii inafurahisha sana kuona almost kila post ya Mwafrika wa Kike inakuwa na kudo kutoka kwako, what a conincedence.

Lakini ukweli ni kuwa hii inashusha hadhi yako, na pia inaongeza zile hisia za kuwa labda MJJ is a paid operative wa chama fulani. It is your way of doing business and we'll have to respect and accept it, but why not be open like Asha, Mnyika n.k.?? I am deeply disappointed with you, MJJ.

Let's wait and see what Asha will come up with (ambayo obvious sasa atasema kuwa email sio ya CHADEMA). If that becomes the case, we will expect her to use her original signature.
 
kweli recently mwanakijiji umezua gumzo ndani ya jf, si bure kuna jambo, inaonekana we mtu muhimu sana hapa jf kila unalosema linachukuliwa kwa uzito wa kipekee kabisa, i wonder why....
Lakini ukweli ni kuwa hii inashusha hadhi yako, na pia inaongeza zile hisia za kuwa labda MJJ is a paid operative wa chama fulani. It is your way of doing business and we'll have to respect and accept it, but why not be open like Asha, Mnyika n.k.?? I am deeply disappointed with you, MJJ.
Carefull now mjj your being watched, every move u make, every comments u post, every thanks u give........
 
Heshima wakuu,

Hivi ikitokea ikaonekana kwamba au ikagundulika kwamba hiyo Mail haijatoka chadema hao walioanza kuikandia chadema watafanyaje? Hivi hiyo mail haiwezi kuwa imetoka kwa mafisadi wachache kutoka CCM ambao wanaona Asha anaitangaza chadema?
 
La kushangaza ni kuwa yule aliyesema kuwa inatoka CHADEMA ndiye huyo huyo atakayekanusha kuwa haitoki huko.
 
Official emails zote za CHADEMA hutumia chedema.net domain. Hiyo ilikuwa kasa!

Mkuu Kitila,
The soln is simple, let Asha have her signature back. CHADEMA can and uses non official email esp when corresponding to individuals such as those in forums as JF. We have been told that Mnyika uses Gmail in official correspondences most of the time. Therefore this is not an excuse.

____________________
 
Asha,
Nafuu umeibuka maana niliamua nisimuachie MJJ mpaka hili lijadiliwe. Fortunately umetua na maelezo ya ku-question validity ya hiyo email uliyotumiwa. Moderator 'Ole' naye akarespond wito wangu 4mins baadaye, na hatimaye MJJ naye akawa angalau 5mins later. Nafikiri hii ilikuwa the best 10mins ya debate so far maana wote mlijitokeza, what a coincidence.

Hapo awali, Mugerezi na Kana-ka-Nsunga, walishali-raise hilo email kuwa labda haitoki kwa uongozi wa Chadema, lakini inaelekea bibie Asha alikuwa na uhakika wa source na wala MJJ pia haku-question validity wakati huo. Kwa hiyo hivi sasa unaposema kuwa huna uhakika, inatia wasiwasi kidogo, but will take your word for it.

Kwa sasa nitasubiri posting ya hiyo email yako hapa mtndandaoni na 'majibu' toka Chadema ndio tujue cha kujadili.

sijui una tatizo gani sasa; hivi unafikiri mimi nasoma kila post. NIkijibu tatizo nisipojibu tatizo. Sasa unataka kusubiri wakati ulishatoa hukumu. Hekima haituongozi hivyo.
 
sijui una tatizo gani sasa; hivi unafikiri mimi nasoma kila post. NIkijibu tatizo nisipojibu tatizo. Sasa unataka kusubiri wakati ulishatoa hukumu. Hekima haituongozi hivyo.

Mkuu MJJ,
Sidhani kama ukiweka majibu ya kutosheleza kama kuna atakayeendelea kukufuatilia. Lakini ukiwa na questionable answers, ni haki ya mtu yeyote kuendelea kuchoknoa.

Ila kiukweli ni kuwa nimekuwa-disappointed sana na partisanship yako. Sidhani kama kuna mtu yeyote ambaye anaweza akawa na mchango wa maana hapa mtandaoni kama atakuwa anaweka upendeleo wa kichama mbele kuliko maslahi ya wanaJF au nchi.

____________________________
 
Huoni haya mtetezi wa Chama Cha Mafisadi unayewachukia CUF na kuwachafua CHADEMA kutumia nembo ya upinzani? Unajifanya upinzani ili hayo maneno yako hapo chini kuwatukana CHADEMA eti kuna ukikteta makao makuu yaaminike? Bahati nzuri kwa michango yako humu watu washajua we mtu wa aina gani. Endelea tu na uhayawani

Asha
 
Out of the topic, hivi kwa nini mtu ukiwa critical na mtizama pande zote za shilingi unapewa majina mengi kama mtetezi/kuwadi/kibaraka wa mafisadi and so forth?
 
Out of the topic, hivi kwa nini mtu ukiwa critical na mtizama pande zote za shilingi unapewa majina mengi kama mtetezi/kuwadi/kibaraka wa mafisadi and so forth?

Mbona FMES, FD na baadhi ya wengine humu wanatazama pande zote mbili lakini hawapewi majina hayo? Tatizo ni pale mtu anapotetea mambo ambayo inaonyesha wazi kabisa kuwa hata yeye hayaamini. Anapotetea mambo yasiyoteeka.

Kwani wewe Icadon ushawahi kuitwa fisadi? Mbona michango yako humu inasimamia ukweli tu, hata kama ukweli huo uwe ni wa upande gani?

Asha
 
Mkuu MJJ,
Sidhani kama ukiweka majibu ya kutosheleza kama kuna atakayeendelea kukufuatilia. Lakini ukiwa na questionable answers, ni haki ya mtu yeyote kuendelea kuchoknoa.

Ila kiukweli ni kuwa nimekuwa-disappointed sana na partisanship yako. Sidhani kama kuna mtu yeyote ambaye anaweza akawa na mchango wa maana hapa mtandaoni kama atakuwa anaweka upendeleo wa kichama mbele kuliko maslahi ya wanaJF au nchi.

kuna mtu mmoja ambaye naweza kucontrol anavyojisikia kuhusu mimi kuandika au kuchangia ni mtu mmoja tu.... me. So I can't help you with your disappointment. Sorry.
 
kuna mtu mmoja ambaye naweza kucontrol anavyojisikia kuhusu mimi kuandika au kuchangia ni mtu mmoja tu.... me. So I can't help you with your disappointment. Sorry.

This is good. At least you agree with me that you are biased towards CHADEMA. Point noted.

___________________________
 
Back
Top Bottom