Tumekuzoea mwana izaya, kumbe unafanya yote haya ili ufungiwe uanze kulia lia kwa majina mengine. Kama maneno ni mkuki basi inaelekea nimewachoma sana wewe na kubwajinga. Unamjua kisaraka wa mtaa asiyejua vibaya?
Asha
Haipendezi mkuu basi nipe namba yako nikupigie.kwanini wanaume mjifanye wana wake?Muunguja gani anahangaika na Chadema mbona mlikosa mgombea wa urais mkamchukua mchagga wenu ANNA KOMU ulikuwa wapi?Jamani mbona wamenipongeza kwa kazi nzuri. Mi nimeelewa logic yao. Msemaji wa CHADEMA hawezi kuwa anakimbizana na wakina Chinga na Kubwa Jinga hapa kama nifanyavyo hapa MIPASHO kwa MIPASHO. Kana we ni mpenzi wa CHADEMA? Tuwasiliane kupitia ashabdala@yahoo.com
Asha
Wamesema natumia maneno ya kushambulia sana, na kwa jinsi nilivyoandika ile signature ya mwanzo kuna watu humu wameandika email za kulalamika CHADEMA kwamba msemaji wenu katika JF anawadhalilisha na kugombana na watu kwenye mtandao. Sasa mi si msemaji rasmi, nimeamua kuondoa ili nisionekane msemaji rasmi. Mi ni mwanachama tu. Wala sijachukia kwa kweli. Na wameniandikia ujumbe mzuri tu wa kunipongeza kwa kukitetea chama. Na wamesema niendelee tu kukitetea chama kwa kuwa kila mwanachama ana haki ya kutoa maoni
Asha
Jamani watu wengine hawapo hapa kujadili mambo ya maana zaidi ya kufanya vurugu, wana uhuru wa kuongea lakini uhuru unapovuka mipaka inakera sana, tunaitaji kueshimiana ili tuweze kumsikiliza kila mmoja wetu mawazo yake yawe yanakingana au yanakubaliana kwa kuwa hatuwezi kukubaliana wote hapa lazim tutofautiane.
Ahhh wapi, kuna watu ukitofautiana nao unaitwa fisadi, mwana ccm au mtetezi wa mafisadi. Labda JF ni ya wanachama wa chama fulani...mie mgeni hapa so inabidi kwanza nikae kando niwaachie wenye ukumbi ndio wanajua kusema mweee.
Chinga, nikueleze mara ngapi kwa mimi sio Kitila. Hebu acha kumnutukana mwalimu wa watu. Yeye anajulikana yuko Uingereza. Mimi najulikana wazi kabisa niko Zanzibar na Dar es salaam. Hebu acha ushakunaku.
by the way, umesoma hii?
FMES,
Ni kweli nimechemsha- Kubwa Jinga sio Mugongo Mugongo. Ila Kubwa Jinga ni mtu mmoja hivi mbaguzi wa kidini na kikabila. Mbona hataki kutuhadhia jinsi alivyofukuzwa CUF kwa sababu ya yeye mwenyewe kuendekeza udini? Lakini naona wanauswahiba hapa na Chinga alias Mtalii alias Mswahili alias Mzee Kifimbo. Karibuni sana
Kubwa Jinga Jinga na Chinga:
Narudia Suala Uteuzi Wa Viti Maalum mbona Zitto na Mnyika walishaeleza kwa kina KIKAELEWEKA, wakaeleza hatua gani zilipitiwa, mapungufu gani yaliyokuwepo wakati wa kutekeleza nia njema waliyoileza hapa, vigezo vya kila mmoja kuteuliwa na mfumo mpya wa uteuzi utakaotumika mwaka 2010 chini ya Baraza La Wanawake wa CHADEMA(BAWACHA).
Hebu search tu hapa au omba msaada upewe links
http://www.jamboforums.com/showthrea...=12123&page=32
Otherwise, rudi huku ukajibu maswali yangu- http://www.jamboforums.com/showthrea...=12123&page=32
Usinikwepe jamani
Nani kakudanganya kuwa mama komu alikuwa mzanzibar kwa ajili ya viti maalum? Huyu ni mzanzibar wa kuzaliwa, ameishi Zanzibar mpaka amekuwa kabisa. Akaenda kuolewa kilimanjaro,akakaa miaka michache, akaachika na akarudi kwao Zanzibar zaidi ya miaka kumi iliyopita. Na toka lini Komu akawa na undugu na Ndesamburo? Hii inadhihirisha nia yako ya kuchafua CHADEMA tu. We endeleza tu kazi ya Chama Cha Mafisadi, lakini jua watanzania wameerevuka.
Ukishindwa humu hamia Habari Corruption haswa Rostam International ukaendelee na kazi
Asha
Sasa Chinga, jibu tuhuma za kuwa godoro na Kubwa Jinga, ni kweli ulifukuzwa kutokana na udini wako? Kwa hiyo haya mnaandika kutokana na chuki zenu binafsi?
Asha,
Kama MJJ alivyoonyesha jinsi ya ku-deal na uzushi, na mimi naomba utoe ushahidi wa hizi accusations zako kwangu au waeleze wanamtandao kuwa umechemsha tena.
Tupe link ya kiukweli ya majibu ya Zitto na Mnyika. Hizo link feki ulizoziweka naomba uziondoe na kuapologize kwa wanaukumbi kwa kuwadanganya.
Assuming your case is true, iweje kuwa kama walitaka Mzanzibari ilibidi wamchukue Mrs. Komu ambaye ni Mzanzibara wa Kilimanjaro?
Kuhusiana na hili la wewe kupigwa marufuku na Chadema, nakupa tena pole. Lakini inaelekea wewe unawaheshimu sana viongozi wa Chadema na unadumisha kila kile uambiwacho. Swali langu ni kuwa, hivi wakikwambia usiwe unatetea tena Chadema kwenye JF au wakikuambia uondoke JF utakubali?
Mwisho ni kuwa, nimeamua kuitumia ile signature yako ya awali, je una mawazo gani??
Chinga:
Nimekusoma mara nyingi ukinisingizia mimi kuwa ni Asha Abdala na kuniporomoshea matusi. Una haki kabisa ya kunichukia na hata kunitukana kwa sababu zozote zile ulizo nazo, lakini kwa kweli huna haki ya kunizushia mambo. Niliamua ku-ignore posts zako za kunisingizia mimi kuwa ni Asha Abdala. Lakini naona unaendelea na uongo ukiendelea kusemwa na kurudiwa mara kwa mara hujenga taswira ya ukweli. Sasa natamka hapa kwa nia ya kuweka record kuwa mimi sio Asha Abdala. Asha pia ameshajibu mara kadhaa hapa kuwa yeye sio Kitila Mkumbo, lakini kwa sababu unazozijua wewe unaendelea.
Kwa vyovyote vile, sina uwezo wa kukufanya uache kufikiri na kuamini kile ambacho wewe umeamua kufikiri na kuamini. Lakini kwa watu wanaofuatilia maandishi ya watu hapa wanajua tofauti ya wazi iliyopo kati ya maandishi yangu na ya Asha.
Siwezi kumaliza post hii bila kutoa malalamiko yangu ya dhati kabisa kwa administrator na moderators wa JF. Naamini kazi za administrator na moderators ni pamoja na kulinda haki na hadhi ya members hapa. Ninasikitishwa sana na kitendo chenu cha kukaa kimya huku mkiona baadhi ya members wenu wakishushiwa hadhi na kuchafuliwa utu wao kwa kila aina ya matusi na kusingiziwa mambo ambayo nyie kama watunza kumbukumbu zetu mnajua kabisa kwamba sio kweli. Nyie mnajua kabisa ukweli wote kwamba mimi sio Asha Abdala na ninaamini pia Mwanakijiji sio Mwafrika wa Kike wala Bi Senti, lakini, kwa sababu mnazozijua nyie, mmekaa kimya huku Chinga akiendelea na uongo na matusi yake kama vile yeye yupo juu ya taratibu tulizoziwekea hapa na tukakubaliana wote kama members. Ninaamini hii si sawa.
Chinga kama kawaida amekimbia na atarudi baadaye na akirudi mtaona atakavyojifanya anaonewa na people ganged upon him. Kuomba radhi hawezi. Lakini, kuna wakati kama alivyosema ndugu yangu Kitila, uongo ukiachwa uenezwe bila kupingwa watu huuona kuwa ni ukweli.
Chinga aje na kutoa ushahidi wa maneno yake na anayo ruhusa yangu kufanya hivyo kuhusu mimi.
M. M.
Mama,
Wewe mgeni lakini macho yako mazuri. Ni vema na wewe umeliona hilo na kuliongelea, mimi tayari nishaitwa mwana-CUF, muislam itikadi kali, mkabila n.k. Shame on JF for allowing this to continue. No wonder that MJJ is now accused of being on Mbowe's payroll.