CHADEMA, wakati Tundu Lissu anasimikwa uchifu kule Geita mlishangilia sana wala hamkusema uchifu ulifutwa

Ww n kiima
 
Hkuna cifu mwanamke .hiyo ni batili
 
Hkuna cifu mwanamke .hiyo ni batili
HISTORIA: MFAHAMU MWAMI THERESA NTARE VI, CHIFU WA KWANZA MWANAMKE > Alikuwa Kiongozi wa Jamii ya Heru huko Kasulu na alishika wadhifa wa Mkuu wa Machifu Tanganyika kutoka kwa Chifu Petro Itosi Marealle 1958 Kufahamu zaidi, soma - https://jamii.app/TheresaChifuMwanamke… #JFHistoria
 
Hivi huko CCM hakuna mtu mwenye uelewa/udhubutu wa kuhoji mambo? Maana kila anayehoji mambo ya serikali lazima ahusishwe na CHADEMA
 
Ishu ni je ulishawahi kumuona chief mwanamke?
 
Hahahah
 
Ishu ni je ulishawahi kumuona chief mwanamke?
HISTORIA: MFAHAMU MWAMI THERESA NTARE VI, CHIFU WA KWANZA MWANAMKE > Alikuwa Kiongozi wa Jamii ya Heru huko Kasulu na alishika wadhifa wa Mkuu wa Machifu Tanganyika kutoka kwa Chifu Petro Itosi Marealle 1958 Kufahamu zaidi, soma - https://jamii.app/TheresaChifuMwanamke… #JFHistoria
 
Hili jamaa likishalewa ulanzi linaandika ujinga,,kwa hyo ni mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…