CHADEMA wakienda barabarani siyo septemba 23, 2024 tulio wao sisi twende kwenye miji yao

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,019
Reaction score
6,825
CHADEMA wameshindwa siasa badala yake wameanza kuchafua vyombo vya dola na watu. Kwa wapenda amani na nchi yetu CHADEMA wakienda barabarani hiyo septemba 23, sisi tuingie kwenye nyumba zao
 
Wewe kwako napajua wewe toka tu hiyo sept 23 ujue ndiyo huna makazi tena. Tumechoka na ujinga wenu
Zingepigwa za juju bila msaada wa polisi ingekuwa powa,lakini kuna chama kazi yake kubebwabebwa tu,tokeni na magwanda yenu ya kijani tukutane front bila polisi
 
Mkuu ujumbe uko wazi- you occupy our road we occupy your home- uchaguzi ni wenu.
Tutafanya ya mrusi na Ukraine. Unateka maeneo yetu na sisi tunateka ya kwenu
 
CHADEMA wameshindwa siasa badala yake wameanza kuchafua vyombo vya dola na watu. Kwa wapenda amani na nchi yetu CHADEMA wakienda barabarani hiyo septemba 23, sisi tuingie kwenye nyumba zao
Kwan za kwenu zimejengwa kwa chuma, huu ujinga wa watu wachache kama wewe kuwa na fikra finyu mlizonazo yatazaliwa makubwa , mtakuja sababisha ccm wenzenu huko vijijini wakimbie miji ,punguzeni ujua kwenye mambo ya msingi na serious .

Shaurini serikali leta chombo huru cha uchunguzi,ili komesha upumbavu huu, achieni mliowateka wakiwa hai au maiti watu wazike ,

Vitisho havina nafasi tena , labda mjiandae kufanya mauaji ya kimbari
 
💯
 
Kamshauri mmeo alete mtu ukunyoe sehemu za siri - akimaliza na sisi tutaishauri serikali ya nchi huru kuleta watu wa nje waingilie mambo yetu ya ndani
 
CHADEMA wameshindwa siasa badala yake wameanza kuchafua vyombo vya dola na watu. Kwa wapenda amani na nchi yetu CHADEMA wakienda barabarani hiyo septemba 23, sisi tuingie kwenye nyumba zao
Ndomu moja tu ya jero ingetuokoa na mengi sana
 
Kamshauri mmeo alete mtu ukunyoe sehemu za siri - akimaliza na sisi tutaishauri serikali ya nchi huru kuleta watu wa nje waingilie mambo yetu ya ndani
Niko na jambo moja mble yangu , la utakaso ,na kuludi msalabani kwa mfungo muhim juu ya taifa langu ,nitakuta nae jf nikimaliza agano ,na nitamalizana nae hapa hapa jf ,Mungu mwema siku zote
 
CHADEMA wameshindwa siasa badala yake wameanza kuchafua vyombo vya dola na watu. Kwa wapenda amani na nchi yetu CHADEMA wakienda barabarani hiyo septemba 23, sisi tuingie kwenye nyumba zao
Rudi shule kwanza ujifunze kuandika.
 
Kamshauri mmeo alete mtu ukunyoe sehemu za siri - akimaliza na sisi tutaishauri serikali ya nchi huru kuleta watu wa nje waingilie mambo yetu ya ndani
Tz hii bange nyingi , unaua ,unatesa ,ila kesho ukipata UTI au Malaria unaenda Dungwa Sindano ! Why utibiwe wakati unaujua mwili wa binadam vizuri kwa kumzuru?, ndani ya siku 47 tangu nimesema hapa jf ,wapumbavu watekaji ,wanaowatuma ,mtaimba aleluya sana ya kwa heri ya kuonana asema Bwana , nipo kwenye utakaso ,hata ile lugha yangu natumiaga kwa sasa sio ,nipo na jambo langu.

So sema nimwite mme wangu aninyoe mavuzi , nasema shukrani ila mda unakuja ya kwenu yatanyolewa kwa vipande vya chupa ambavyo vimeokotwa majaralani na chafu ,asema Bwana ,tunza hii ,tukutane after 47 days
 
Kama ulivyochukia kwa mmeo kumuita mtu mwingine akunyoe sehemu zako za siri; ndivyo hivyo hivyo inavyokera kwa watu wazima kuja na wazo la kuleta chombo cha nje kije kuchunguza kifo cha raia mmoja ambaye hata hatumujui vizuri na wala aliyenuua ni nani
 
Back
Top Bottom