Elections 2015 CHADEMA wakiongozwa na Lema wamkimbia Lowassa Jijini Arusha

Elections 2015 CHADEMA wakiongozwa na Lema wamkimbia Lowassa Jijini Arusha

duanzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Posts
16,428
Reaction score
218
Wana JF,

Wakati tukijiandaa kuhudhuria kilele cha kumuapisha rasmi Lowasa kuwa rais wa Tanzania hapo kesho hapa jijini Arusha,,kila nikipita huku mitaa ya Arusha sioni dalili yoyote ya kuwepo Chadema hapa mjini,,Makamanda wa Chadema mko wapi?

Mbona mmeukimbia mji? Wazawa wenye Jiji lao tunatamba tu hapa Mjini,Lema na genge lake la Chadema wamejificha.

We Lema si unasema CCM haipo Arusha mbona umejificha? Njoo kesho uwanjani Sheikh Amri Abeid uone wenye jiji lao la Arusha tunavyotamba hapa mjini,, Chadema wote wameukimbia mji,,
 
Kutoka Arusha!
Wanajamvi, Amani iendelee kudumu Tanzania!

Wale wafuatiliaji wenzangu wa siasa, mtakuwa mmeshabaini kuwa siasa za Tanzania kwenye upande wa mgombea wa Urais kutoka CCM sasa zimeshika kasi kuu!

CCM inagombewa na kila mwanachama wa chama hiki anayejihisi kuwa ana sifa na anatamani ateuliwe kupeperusha bendera ya chama kwenye ngazi hiyo kuu!

Edward Ngoyai Lowassa ni mmoja wa wagombea hao!
Huyu anatajwa sana kuwa anaweza kupitishwa na chama kugombea nafasi hiyo kutokana na ushawishi mkubwa alionao kuliko mgombea yeyote yule kati ya hawa waliokwisha kujitanganza mpaka sasa! Kutokana Na historia yake iliyotukuka kiutendaji!

Lowassa Kesho tarehe 30.05.2015 atatangaza nia hapa Sheikh A.A.STADIUM Arusha!

Wachambuzi wa duru za siasa mjini hapa wanabainisha kuwa Iwapo Mh.E.N.Lowassa atateuliwa na Chama cha Mapinduzi kugombea nafasi ya juu kabisa katika nchi hii, Na Wananchi wengi wa Arusha wameonyesha support kubwa sana kwa chama cha mapinduzi, hakuna namna yeyote ile chama kingine cha upinzani kama CHADEMA kinaweza kujipenyeza na kuingia tena kwenye siasa za Arusha.

Wananchi wote wa Arusha mjini na majimbo mengine wote wameonyesha nia ya dhati ya kumuunga mkono Ndg.Edward .N. Lowassa. That means wabunge, Madiwani, etc wote watatoka CCM, Vyama vya upinzani havina nafasi tena Arusha! Hii ni bahati mbaya sana kwa LEMA na CHADEMA, bila kusahau umoja wao wa UKAWA.
CCM na wagombea wake ndio watakao shika upande huu!

Idadi kubwa ya wananchi wanamsapoti Lowassa na CCM, hakuna namna yeyote ambapo Godbless J Lema anaweza kujitutumua tena kwenye siasa za Arusha!

Kidumu cha cha mapinduzi!
VIVA LOWASSA, VIVA CCM!
 
Wana Jf,
Wakati tukijiandaa kuhudhuria kilele cha kumuapisha rasmi Lowasa kuwa rais wa Tanzania hapo kesho hapa jijini Arusha,,kila nikipita huku mitaa ya Arusha sioni dalili yoyote ya kuwepo Chadema hapa mjini,,Makamanda wa Chadema mko wapi? Mbona mmeukimbia mji? Wazawa wenye Jiji lao tunatamba tu hapa Mjini,Lema na genge lake la Chadema wamejificha...We Lema si unasema CCM haipo Arusha mbona umejificha? Njoo kesho uwanjani Sheikh Amri Abeid uone wenye jiji lao la Arusha tunavyotamba hapa mjini,, Chadema wote wameukimbia mji,,

Udaku toa hpa
 
Uwanja utajazajwa na maccm yanayosafirishwa kutoka maeneo mengne na sio wakazi wa aRusha,by the way mamvi hawezi kuwa rais wa nchi hii.
 
Kwani hakuenda Arumeru? Kule walichapwa hadi Mkapa!

By the way nani kakudanganya kuwa watampitisha huyo marehemu ambaye anashindwa hadi kiongea?

----- kweli wewe!
 
Wana Jf,
Wakati tukijiandaa kuhudhuria kilele cha kumuapisha rasmi Lowasa kuwa rais wa Tanzania hapo kesho hapa jijini Arusha,,kila nikipita huku mitaa ya Arusha sioni dalili yoyote ya kuwepo Chadema hapa mjini,,Makamanda wa Chadema mko wapi? Mbona mmeukimbia mji? Wazawa wenye Jiji lao tunatamba tu hapa Mjini,Lema na genge lake la Chadema wamejificha...We Lema si unasema CCM haipo Arusha mbona umejificha? Njoo kesho uwanjani Sheikh Amri Abeid uone wenye jiji lao la Arusha tunavyotamba hapa mjini,, Chadema wote wameukimbia mji,,

Wewe ni kichaa
 
At your best!
 
Jiji kuu la upinzani na jiji kuu la mapinduzi kupitia azimio la Arusha liendekeze mafisadi? Nasubiri hili kwa hamu kesho.....
 
Nendezi mkazikane
LOWASSA (Richmond)
ROSTAM (dowans)
CHENGE (Richmond, EPA, RADA, Escrow)
KALAMAGI (Mikataba ya buzwagi)
LUGEMALILA (Escrow)
Kwa pamoja tunawaita wazee wa madili A.K.A mafisadi NYANGUMI
ndo hawa wanataka urais
Hahhaaaa akyanani walaiiii
Labda awe rais wa Ng'0mbeee ila sio watu!
 
Ndoto nyingine hii.kijana amka kwanza unawe uso!
 
Siasa za Arisha twazijua,,,ukivaa kijani mjini watu wote wanapiga yowe, nimeshuhudia wengi hasa wanawake wanapovaa kijani hujitanda kanga hasa kwenye usafiri wa ummaaarufu vifod kwa arusha hadi wafike eneo husika ndipo waondoe kanga wabaki na kijani yao. Tuongee ukweli Arusha ccm haipo ni ya kuunga. Kama ccm imefuka baada ya Lowasa kutangaza nia basi hilo ni tukio bichi.
 
Back
Top Bottom