Elections 2015 CHADEMA wakiongozwa na Lema wamkimbia Lowassa Jijini Arusha

Unachoshangilia ni kipi mkusanyiko usio mtakatifu, wa mafisadi? Matumaini/ndoto zao hazifanani kabisa na
za watanzania. Waliozinduka wameishajitoa.
 
mkuu pamoja na kwamba kula na kuishi kwako yaani kujikimu vyote hutegemea kudra za ccm , nakuhakikishia kwamba HON PROPHET LEMA ndio kiboko ya lowasa , na wachunguzi wa mambo wanadai lowasa akikutana na lema njiani anabadilisha njia , rekodi zipo .
 
Huyu mzee anatia huruma...ataweza kugombea kama ataenda kwingine sio ccm.Ukawa hawampokei sijui atakuwa mgombea binafsi au ataenda act-wazalendo.Ccm hawako tayari kurisk chama chao kwa kumwogopa MTU 1 simply anavijicent.No way...too late...sorry sir
 
Hata Lowassa anajua fika kwamba hata yeye mwenyewe akigombea ubunge Arusha mjini atasombwa na mafuriko ya ChadeKawa
 
ratiba ya shughuli ya kesho inaonyesha hawa wote watahudhuria na watambulishwa !
 
Lowasa hawezi kupitishwa kugombea urais kwa tiketi ya ccm. Labda aende UKAWA
 
Wewe kijana Nani kakuambia uandike hivyo?.Si bora ungenunua gazeti alafu ujipepeeee🙊🙊🙊.Ndorobooo weeee
 
Kama Lowassa anajiamini ni kwanini anahangaika kukodi magari ya kusafirisha watu mpaka Arusha?

Hakuna mtu amekodiwa, kila mtu anaenda kwa mapenzi yale mwenyewe, mimi nimetoka Songea mpaka Arusha sijapewa hata senti tano,,
 
Watu wakaribu na viongozi wa mjengoni inasemekana kuna kipindi ilifikia bi kiroboto alitoa angalizo "huyu kijana yaani lema anaweza akakunyemelea hata kwenye korido akakupiga kwy kuweni makini"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…