kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
No reform no election ni sawa na kumpiga chura teke. Chama cha Dovutwa, CUF, TLP na vingine vitawakilisha uchaguzi wa vyama vingi, fikirieni upya. Kama watasusa CCM watapita bila kupita na kugeuka hasira za mkizi furaha kwa mvuvi. Hakuna varangati linaloweza kuzuia uchaguzi usifanyike.