CHADEMA wako njia panda na wamepoteza mwelekeo

Kwani wazanzibari wanasemaje?? Acheni uoga bwana wapeni watu nchi yao wajitawale kuliko kuendekeza fikra za kijinga na kizamani.
Mwaka 2015 CHADEMA walisema sasa ni zamu ya Walutheli (KKKT) kutoa rais
 
Heko CHADEMA kwa kuweka msimamo wa chama wazi huu ni ukomavu na uwajibikaji mkubwa!
Angekuwa atekwa mgesema kiongozi wenu; kasema mnayosema mnasema heko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…