GE2025 CHADEMA walaani matumizi ya nguvu yasiyo ya lazima dhidi ya waandamanaji

GE2025 CHADEMA walaani matumizi ya nguvu yasiyo ya lazima dhidi ya waandamanaji

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Screenshot_20251102-172059.png
 
Wameamua kwa maksudi kabisa kufanya maovu gizani!

Lakini hii haitoshi.

Kuna umuhimu wa kukusanya taarifa kwa uangalifu mkubwa toka ndani ya jumuia yenyewe, huko huko mitaani na kwenye taasisi kama hospitalini kimya kimya na kuziweka pamoja kwa uangalifu mkubwa.

Taarifa zitapatikana tu, tena kwa ukamilifu kabisa. Mambo ya aina hii kamwe hayawezi kufichwa.
 
Hawa mashetani wamechagua njia ambayo itawafikisha The Hague before they know it!
Hapana.

Hawa kama itawezekana inafaa tuyamalize sisi wenyewe hapa hapa, kwa njia moja ama nyingine.
Hawa kuwapeleka 'The Hague' ni kuwapa muda wa kuwa mapumzikoni kwa raha zao tu
 
Hapana.

Hawa kama itawezekana inafaa tuyamalize sisi wenyewe hapa hapa, kwa njia moja ama nyingine.
Hawa kuwapeleka 'The Hague' ni kuwapa muda wa kuwa mapumzikoni kwa raha zao tu
Unless we topple them, we may not have that option!
 
Unless we topple them, we may not have that option!
Kiukweli siioni serikali ya Samia Suluhu Hassan ikikaa madarakani na kuendesha nchi hii kwa amani; huku akitegemea matumizi ya nguvu kulinda amani hiyo.
 
Kiukweli siioni serikali ya Samia Suluhu Hassan ikikaa madarakani na kuendesha nchi hii kwa amani; huku akitegemea matumizi ya nguvu kulinda amani hiyo.
Hata mimi siamini kwamba atafika 2030 salama. Ngoja tuone!
 
Back
Top Bottom