Haya ni maoni yangu binafsi, kuna watu walipanga kumumaliza kisiasa kabisa Lissu ,bahati nzuri kwake kwa nguvu ya umma akaibuka kidedea.
Hata huyo Mbowe mnayemsifia ukifuatilia interviews zake zote kabla ya uchaguzi alijawa na kisasi dhidi ya Lissu.
Sasa uchaguzi umeisha ila kuna watu kama hawataki kukubali matokeo ilihali Mbowe yeye ameyakubali na ni kama vile wana mlengo wa kuukwamisha uongozi mpya wa chama.
Ni vyema chama kifungue milango tu ,anayetaka kubaki kujenga chama abaki, asiyetaka aondoke kuliko hii mipasho inayoendelea ya kuhujumu chama.
Watu kama Yericko Nyerere, Henry Kilewo , Asenga na wengineo ambao bado wanaendeleza mipasho mitandaoni wanatakiwa kupewa onyo Kali na chama au waondoke kwenye chama.
Uchaguzi umeisha, Lissu ameshinda kihalali, msaidieni kujenga chama, hiki chama ni tumaini la watanzania.