CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Kama Lissu ni mhuni basi wewe ni mpumbavu.Lissu ni mhuni lakini kwakuwa wanachadema wanapenda wahuni tuwaache muda utaongea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Lissu ni mhuni basi wewe ni mpumbavu.Lissu ni mhuni lakini kwakuwa wanachadema wanapenda wahuni tuwaache muda utaongea.
Go to hell then.chadema is no longer my party!
Mambo hayako rahisi namna hiyo kijana. Acha mawazo ya kiuanaharakati. Chama ni watu.Kama hawako tayari kuendelea na mapambano chini ya uongozi mpya ni vyema waondoke tu kwenye chama.
CHADEMA itapata wanachama wengine wapya wenye hali mpya kabisa.
Wewe chawa wa Samia tuondolee upumbavu wako wa kiccm hapa.Hatutoki ndani ya chama, tutapambana humohumo mpaka tuuane
Wewe ndiye unayetaka kumkwamisha Lisu kwa mawazo yako ya kiuanaharakati uchwara. Chama hakiendeshwi kwa mihemuko kama unavyodhani. Tulieni mponye majeraha ya kihisia vinginevyo mtafeli mapema sana.Haya ni maoni yangu binafsi, kuna watu walipanga kumumaliza kisiasa kabisa Lissu ,bahati nzuri kwake kwa nguvu ya umma akaibuka kidedea.
Hata huyo Mbowe mnayemsifia ukifuatilia interviews zake zote kabla ya uchaguzi alijawa na kisasi dhidi ya Lissu.
Sasa uchaguzi umeisha ila kuna watu kama hawataki kukubali matokeo ilihali Mbowe yeye ameyakubali na ni kama vile wana mlengo wa kuukwamisha uongozi mpya wa chama.
Ni vyema chama kifungue milango tu ,anayetaka kubaki kujenga chama abaki, asiyetaka aondoke kuliko hii mipasho inayoendelea ya kuhujumu chama.
Watu kama Yericko Nyerere, Henry Kilewo , Asenga na wengineo ambao bado wanaendeleza mipasho mitandaoni wanatakiwa kupewa onyo Kali na chama au waondoke kwenye chama.
Uchaguzi umeisha, Lissu ameshinda kihalali, msaidieni kujenga chama, hiki chama ni tumaini la watanzania.
Na wewe ni mpumbavu tu umezidisha mahaba kwa Mbowe kumzidi Dr. Lillian MteiMikuu Fundi Mchundo , my concern siyo kushindwa kwa Mbowe, sina interest na Mbowe at all...what is disturbing my mind ni namna Lisu and team walifanya kampeni zao dhidi ya utu wa Mbowe, mwenzao aliyewwamini kutoka ndai ya moyo wake, kumbe wao walikuwa ni Nunda wala watu..
1. Kameni za matusi kwa Mbowe
2. Kumdhalilisha kwa mambo mengi... amelamba asali etc
3. Amepokea Rushwa ya Abdul
4. Maridhiano alikwenda kutafuta nusu mkate,uwaziri Mkuu
4. Na ujinga mwingi mwingi mwingi.
Sasa unakaaje kwenye chama chenye kiongozi mpuuzi kama Lisu at the top and tam akina Lema? Erythrocyte siwezi kukaa kwenye kudi la kiongozi kama Lisu, mnafiki, Mwongo, katili etc etc
Jitenge nao!
I understand that.Mikuu Fundi Mchundo , my concern siyo kushindwa kwa Mbowe, sina interest na Mbowe at all...
Mimi kilicho nistua ni kampeni chafu ya kumtaka Mbowe asigombee. Nikategemea Lissu atawaambia wafuasi wake wasifanye hivyo. Badala yake akaja na hadithi ya kutunga ya kupelekewa pesa na Abduli aliyeongozana na Wenje. Utetezi wa Yericko na Wenje made more sense. Ndipo nikaanza kuangalia upya statements zake.what is disturbing my mind ni namna Lisu and team walifanya kampeni zao dhidi ya utu wa Mbowe, mwenzao aliyewwamini kutoka ndai ya moyo wake, kumbe wao walikuwa ni Nunda wala watu..
1. Kameni za matusi kwa Mbowe
2. Kumdhalilisha kwa mambo mengi... amelamba asali etc
3. Amepokea Rushwa ya Abdul
4. Maridhiano alikwenda kutafuta nusu mkate,uwaziri Mkuu
4. Na ujinga mwingi mwingi mwingi.
Kujitenga nao sawa. Lakini chama ni zaidi ya viongozi wao. Iko siku kitastukia yanayoendelea na kujisahihisha. Usikiache kabisa. Ukifanya hivyo utawapa free rein hao unao tofautiana nao.Sasa unakaaje kwenye chama chenye kiongozi mpuuzi kama Lisu at the top and tam akina Lema? Erythrocyte siwezi kukaa kwenye kudi la kiongozi kama Lisu, mnafiki, Mwongo, katili etc etc
Jitenge nao!
Wewe ulikuwa mfuasi wa Mbowe sio mwanachama wa Chadema.chadema is no longer my party!
Umeandika kishabiki sana, kiufupi huna hoja.Ukisikiliza pande zote mbili kwa makini hasa kwenye mahojiano (Mbowe na Tundu) kupitia vyombo vya habari utajifunza kitu.Kama akili imetulia utaona kabisa Bwana Tundu alikuwa na kauli za kukurupuka.
1) Tundu Lissu hakupima baadhi ya kauli za shutuma dhidi ya Mbowe.Mfano, kauli ya kusema Mbowe kalambishwa asali.Huu ni ukurupikaji.Kwa mujibu wa Mbowe,Makamu Mwenyekiti anayo mamlaka Chadema kikatiba kuwasilisha masuala kama hayo ndani ya vikao ndani ya Chadema.Lakini hakufanya hivyo zaidi ya kupiga kelele kwenye social media.That's wrong.
2) Lissu anatumia sana suala la kupigwa risasi ILI kutafuta huruma ya jamii na kuchomeka mambo yake.
3) Kauli ya kitoto alioitoa baada ya kuchaguliwa kwamba HAJUI OFISI YA MWENYEKITI ILIPO,???!!! ni kauli ya kihuni sana.Alipokuwa Makamu Mwenyekiti Ina maana ofisi za Chadema zilikuwa chini ya mti wowote wenye upepo na kivuli?
Kwa Taasisi kama Chadema kuwa na Kiongozi anayekurupuka na kutopima anayosema ni hasara.
3) Kutumia lugha ya "Pesa za Mama Abduli zimetumika kuhonga".
Mama Abduli yupi anayeongelewa kwenye medani ya kisiasa? Kikatiba na taratibu za politics who is Mama Abduli? Kiongozi makini hawezi akafanya mambo ya Tom & Jerry kwenye masuala serious ya nchi.
Hii inatia shaka
Nani anataka kuabudiwa? Lisu mwenyewe kakataa uchawaMara nyingi katika uchaguzi kama huu ni wajibu wa aliyeshinda kuwaonyesha wale ambao hawakumpigia kura kuwa wana nafasi katika chama chao. Kushinda kwa asilimia 2 halafu kutaka kila mtu akuabudu hakutatibu majeraha. Kaka yake Lissu amemshauri mdogo wake aonyeshe "magnanimity" katika ushindi wake. Amsikilize.
Amandla...
Hao wapiga kura 48% ni walilazimishwa kwa rushwa na hawana impact kwa wananchi. Wananchi wanamuunga mkono Tundu Lissu.Nitajie moja ambazo zilionyesha unalodai. Katika mahojiano yake Mbowe alikuwa anasikitika tu kuwa wamefika walipofika katika mahusiano yake na Lissu na wengine. Ni kweli alisema kuwa baada ya uchaguzi, wote waliokuwa wameenda kinyume na maadili na miongozo ya chama wachukuliwe hatua. Hakusema ni wa upande upi uchukuliwe hatua. Lakini kwa matamshi ya upande wenu inaonekana mnajua kuwa mlienda kinyume na maadili ya chama.
Naona mnataka kumgeuza Lissu kuwa Mungu mtu ambae hawezi kukosolewa. Lissu mwenyewe alipinga mambo ya kumuita " mpango wa Mungu". Kukoa hakuna maana mtu anataka kuukwamisha uongozi mpya. Kama hamtaki ukosolewa basi mtakuwa hamna tofauti na wenzenu ambao kila kukicha ni kumuimbia mapambio kiongozi wao. Mtakuwa mnamharibia mtu wenu.
Ni yale yale. Lissu sio Führer. Yeye ni kiongozi wa chama kinachojiita cha demokrasia na kila mwanachama ana haki ya kutoa mawazo yake hata kama hayawapendezi wakubwa katika chama.
Umetaja wale ambao hawakumuunga mkono Lissu tu. Ndio mwanzo wa kuigeuza Chadema kuwa cult. Hawa wana haki ya kutoa mawazo yao kama vile machawa nao walivyokuwa na haki hiyo hiyo. Kwa mnavyokwenda mtamgeuza Lissu kuwa dikteta ambae kila anaempinga au asiyempenda anachukuliwa hatua au anafukuzwa. Wakina Yericko angalau wana fanya hivyo wazi wazi ukilinganisha na wakina Lissu walioandaa mipango yao kwa siri.
Atasaidiwa kujenga chama kwa kukosolewa pale anapokosea. Msisahau kuwa karibu asilimia 50 ya wapiga kura katika Baraza Kuu walimkataa. Badala ya kutaka kuwaonyesha ubabe anatakiwa kuwaonyesha kuwa yeye sio yule waliyemdhania. Kama CDM ya Lissu itageuka kuwa cult basi itapoteza uhalali wa kujiita tumaini la watanzania maana itakuwa ni vehicle ya ambition za Lissu na uchaguzi ujao itahakikisha anapita bila kupingwa. Huo ndio utakuwa mwanzo wa mwisho wa CHADEMA.
Amandla...
sijawahi kuwa mwanachama, (some of my family members are chadema members, ila mimi ni mdau wa chadema....it was my favorite party... hakuna mchango ambao ulitangazwa na chadema nisichange. Sasa kwa mpuuzi mropokaji aliyepo top., I beg to b onlooker!
Hao ni wajumbe tena waliolambishwa Rushwa na hawana ushawishi wowote kwa wananchi. Mnawajaza ujinga tu ,ambaye akubaliani na uongozi mpya aondoke kwenye chama.Mara nyingi katika uchaguzi kama huu ni wajibu wa aliyeshinda kuwaonyesha wale ambao hawakumpigia kura kuwa wana nafasi katika chama chao. Kushinda kwa asilimia 2 halafu kutaka kila mtu akuabudu hakutatibu majeraha. Kaka yake Lissu amemshauri mdogo wake aonyeshe "magnanimity" katika ushindi wake. Amsikilize.
Amandla...
Not at all! Behaviour za Lisu kwenye kampeni, siyo mtu wa kumfuata.... sikiliza clip, mtu ama una akili za uungwana huyo utamfuatajeWewe ulikuwa mfuasi wa Mbowe sio mwanachama wa Chadema.
Ondoka mkuu, kimbia haraka.sijawahi kuwa mwanachama, (some of my family members are chadema members, ila mimi ni mdau wa chadema....it was my favorite party... hakuna mchango ambao ulitangazwa na chadema nisichange. Sasa kwa mpuuzi mropokaji aliyepo top., I beg to b onlooker!
Kubalini mmeshindwa uchaguzi, au muondoke kwenye chama. Majungu hayana nafasi tena ktk kujenga chama.Not at all! Behaviour za Lisu kwenye kampeni, siyo mtu wa kumfuata.... sikiliza clip, mtu ama una akili za uungwana huyo utamfuataje
Itakuwa imara muno, hao ambao hawataki kusaidia chama. Waondoke tu.Mpenda ibada ya sanamu yaani alfa na omega wa mchongo ndiye alipaswa avunje genge lake na kuwasisistiza wamuunge mkono Lissu.
Chadema chini ya Lissu itakuwa imara sana na yenye mvuto kasoro ndg wa mwenye sacvos wataendelea kununa
Watu wasiokiunga mkono chama hao siyo watu wa kujenga chama bali kubomoa. Sasa kama mtu anaona hapati furaha ya moyo ni vyema aondoke kwenye chama.S
Mambo hayako rahisi namna hiyo kijana. Acha mawazo ya kiuanaharakati. Chama ni watu.