CHADEMA, Wale wote ambao hawataki kuponywa majeraha ya uchaguzi ni vyema wakafunguliwa mlango wa kutokea

..lissu sio mtu wa kutaka kuabudiwa kama Alfa na omega kamwe
 
Tatizo Mbowe hakuvunja kundi lake.
Leo kuna ndugu yake naona analalamika mitandao kwa style ya kuaga
 
..lissu sio mtu wa kutaka kuabudiwa kama Alfa na omega kamwe
Sasa mbona wafuasi wake hawataki akosolewe? Na kiukweli mtu anajulikana baada ya kupata madaraka makubwa. Tutajua ukweli huo siku zinavyoenda ila wafuasi wake wameanza vibaya.

Amandla...
 
Mpenda ibada ya sanamu yaani alfa na omega wa mchongo ndiye alipaswa avunje genge lake na kuwasisistiza wamuunge mkono Lissu.
Chadema chini ya Lissu itakuwa imara sana na yenye mvuto kasoro ndg wa mwenye sacvos wataendelea kununa
 
Mpenda ibada ya sanamu yaani alfa na omega wa mchongo ndiye alipaswa avunje genge lake na kuwasisistiza wamuunge mkono Lissu.
Chadema chini ya Lissu itakuwa imara sana na yenye mvuto kasoro ndg wa mwenye sacvos wataendelea kununa
Huo sasa utakuwa udikteta. Mbowe hawezi kumlazimisha mtu yeyote amuunge mkono Lissu hata pale anapoona anakosea. Kama nilivyosema ni wajibu wa aliyeshinda kupoza majeraha ya walioshindwa na sio vice versa.
Mandela aliposhinda uchaguzi South Africa alihakikisha kuwa kiongozi wa Inkatha Freedom Party anapata nafasi katika uongozi wake. Ndivyo inavyopaswa kuwa.

Muda ndio utakaoonyesha ukweli wa unachosema. Hata Mrema alipendwa sana lakini mwisho wa siku akatuangusha. Tunakitakia kila la kheri CDM ya Lissu lakini tutaendelea kukikosoa pale tunapoona kinakosea. Huo ni wajib.

Amandla...
 
Nakumbuka tangu mwanzo wewe ni adui wa Lissu
 
..lissu sio mtu wa kutaka kuabudiwa kama Alfa na omega kamwe
Basi akubali na chawa wake pia wakubali kuwa hata ndani ya chama chao kutakuwa na watu watakaopinga strategies zake hivyo ni wajibu wake kuwafanya waelewe mikakati yake na wasipoikubali hapana budi iwe ki-gentlemen's agreement ya 'agreeing to disagree' na walisongeshe ki aina hiyo.
Hakuna kiongozi anayekubalika na wote.
 

True!
 
Nakumbuka tangu mwanzo wewe ni adui wa Lissu
Hapo ndipo mnapo kosea. Mimi sio adui wa Lissu. Mimi nina mkosoa. Sipendi namna kampeni yake ilivyoendeshwa. Na sipendi alivyoanza. Naamini kuwa ana mapungufu yake ambayo itakuwa vyema akiyarekebisha ili awe kiongozi bora zaidi. Hofu yangu ni kuwa kwa kutaka kumfanya Mungu Mtu kutamharibia. Uchawa na uvuvuzela ni tatizo kubwa katika nchi yetu. Lissu hahitaji watu wa namna hiyo. Na mwenyewe amesema hivyo.

Amandla....
 
Sasa uchaguzi umeisha ila kuna watu kama hawataki kukubali matokeo ilihali Mbowe yeye ameyakubali na ni kama vile wana mlengo wa kuukwamisha uongozi mpya wa chama.👌🏿
 
chadema is no longer my party!
Mkuu, I understand your frustrations but give them a chance. Bado kuna watu wengi wana nia njema katika chama hicho. Na labda wako sahihi katika baadhi ya approach yao. Only the future will tell. Don't abandon them.

Amandla...
 
Watu kama Yericko Nyerere, Henry Kilewo , Asenga na wengineo ambao bado wanaendeleza mipasho mitandaoni wanatakiwa kupewa onyo Kali na chama au waondoke kwenye chama.

Hawa walikuwa sehemu ya project wakapokea shekeli.. Project ikafeli 😂 ni lazima wawe na hasira sana
Tuwaache kwanza taharuki ikiisha watatulia
 
Lissu ni mhuni lakini kwakuwa wanachadema wanapenda wahuni tuwaache muda utaongea.
Kumbe! safi sana. Dawa ya moto ni moto. Kwa kuwa ndani ya ccm kuna wahuni (by Polepole) tumewaletea muhuni apambane na wahuni hao.
 
Mkuu, I understand your frustrations but give them a chance. Bado kuna watu wengi wana nia njema katika chama hicho. Na labda wako sahihi katika baadhi ya approach yao. Only the future will tell. Don't abandon them.

Amandla...
Mikuu Fundi Mchundo , my concern siyo kushindwa kwa Mbowe, sina interest na Mbowe at all...what is disturbing my mind ni namna Lisu and team walifanya kampeni zao dhidi ya utu wa Mbowe, mwenzao aliyewwamini kutoka ndai ya moyo wake, kumbe wao walikuwa ni Nunda wala watu..
1. Kameni za matusi kwa Mbowe
2. Kumdhalilisha kwa mambo mengi... amelamba asali etc
3. Amepokea Rushwa ya Abdul
4. Maridhiano alikwenda kutafuta nusu mkate,uwaziri Mkuu
4. Na ujinga mwingi mwingi mwingi.

Sasa unakaaje kwenye chama chenye kiongozi mpuuzi kama Lisu at the top and tam akina Lema? Erythrocyte siwezi kukaa kwenye kudi la kiongozi kama Lisu, mnafiki, Mwongo, katili etc etc

Jitenge nao!
 

Attachments

  • LISU NA UDHALILISHAJI KWA MBOWE.mp4
    18.2 MB
Hizo zilikuwa mbinu za ushindi. Msifukue Makaburi. Hiyo imeisha jengeni chama
 
Ipi nafuu kujitokeza kwenye chombo kikubwa kama bbc na kusema kuna watu wametkutwa na hatia kwa kesi ya ugaidi na wapo wanatumikia vifungo vyao.

Unajua ile ilikuwa ni aibu kubwa basi tu Tz sio nchi serious sn
 
CDM hakuna chawa chawa zipo huku huko kwa mama dula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…