CHADEMA, Wale wote ambao hawataki kuponywa majeraha ya uchaguzi ni vyema wakafunguliwa mlango wa kutokea

S
Kama hawako tayari kuendelea na mapambano chini ya uongozi mpya ni vyema waondoke tu kwenye chama.

CHADEMA itapata wanachama wengine wapya wenye hali mpya kabisa.
Mambo hayako rahisi namna hiyo kijana. Acha mawazo ya kiuanaharakati. Chama ni watu.
 
Wewe ndiye unayetaka kumkwamisha Lisu kwa mawazo yako ya kiuanaharakati uchwara. Chama hakiendeshwi kwa mihemuko kama unavyodhani. Tulieni mponye majeraha ya kihisia vinginevyo mtafeli mapema sana.
 
Na wewe ni mpumbavu tu umezidisha mahaba kwa Mbowe kumzidi Dr. Lillian Mtei
 
Mikuu Fundi Mchundo , my concern siyo kushindwa kwa Mbowe, sina interest na Mbowe at all...
I understand that.
Mimi kilicho nistua ni kampeni chafu ya kumtaka Mbowe asigombee. Nikategemea Lissu atawaambia wafuasi wake wasifanye hivyo. Badala yake akaja na hadithi ya kutunga ya kupelekewa pesa na Abduli aliyeongozana na Wenje. Utetezi wa Yericko na Wenje made more sense. Ndipo nikaanza kuangalia upya statements zake.
Sasa unakaaje kwenye chama chenye kiongozi mpuuzi kama Lisu at the top and tam akina Lema? Erythrocyte siwezi kukaa kwenye kudi la kiongozi kama Lisu, mnafiki, Mwongo, katili etc etc

Jitenge nao!
Kujitenga nao sawa. Lakini chama ni zaidi ya viongozi wao. Iko siku kitastukia yanayoendelea na kujisahihisha. Usikiache kabisa. Ukifanya hivyo utawapa free rein hao unao tofautiana nao.

Amandla...
 
CHADEMA inasukwa upya, hao wasiotaka kuponywa majeraha ni bora waonyeshwe mlango wa kutokea watoke waende wanakoona maumivu yao yataponywa. Chama kitapata wanachama wapya wengi na kitaungwa mkono na wananchi wengi tofauti na ilivyokuwa awali tangu kianzishwe
 
Umeandika kishabiki sana, kiufupi huna hoja.
 
Nani anataka kuabudiwa? Lisu mwenyewe kakataa uchawa
 
Hao wapiga kura 48% ni walilazimishwa kwa rushwa na hawana impact kwa wananchi. Wananchi wanamuunga mkono Tundu Lissu.
 
Usimfukuze Retired na Quinine Chadema.
sijawahi kuwa mwanachama, (some of my family members are chadema members, ila mimi ni mdau wa chadema....it was my favorite party... hakuna mchango ambao ulitangazwa na chadema nisichange. Sasa kwa mpuuzi mropokaji aliyepo top., I beg to b onlooker!
 
Hao ni wajumbe tena waliolambishwa Rushwa na hawana ushawishi wowote kwa wananchi. Mnawajaza ujinga tu ,ambaye akubaliani na uongozi mpya aondoke kwenye chama.
 
Wewe ulikuwa mfuasi wa Mbowe sio mwanachama wa Chadema.
Not at all! Behaviour za Lisu kwenye kampeni, siyo mtu wa kumfuata.... sikiliza clip, mtu ama una akili za uungwana huyo utamfuataje
 

Attachments

  • LISU NA UDHALILISHAJI KWA MBOWE.mp4
    18.2 MB
sijawahi kuwa mwanachama, (some of my family members are chadema members, ila mimi ni mdau wa chadema....it was my favorite party... hakuna mchango ambao ulitangazwa na chadema nisichange. Sasa kwa mpuuzi mropokaji aliyepo top., I beg to b onlooker!
Ondoka mkuu, kimbia haraka.
 
Not at all! Behaviour za Lisu kwenye kampeni, siyo mtu wa kumfuata.... sikiliza clip, mtu ama una akili za uungwana huyo utamfuataje
Kubalini mmeshindwa uchaguzi, au muondoke kwenye chama. Majungu hayana nafasi tena ktk kujenga chama.
 
Mpenda ibada ya sanamu yaani alfa na omega wa mchongo ndiye alipaswa avunje genge lake na kuwasisistiza wamuunge mkono Lissu.
Chadema chini ya Lissu itakuwa imara sana na yenye mvuto kasoro ndg wa mwenye sacvos wataendelea kununa
Itakuwa imara muno, hao ambao hawataki kusaidia chama. Waondoke tu.
 
S

Mambo hayako rahisi namna hiyo kijana. Acha mawazo ya kiuanaharakati. Chama ni watu.
Watu wasiokiunga mkono chama hao siyo watu wa kujenga chama bali kubomoa. Sasa kama mtu anaona hapati furaha ya moyo ni vyema aondoke kwenye chama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…