Ugumu wangu
JF-Expert Member
- May 6, 2021
- 1,684
- 3,558
Habari ya usiku huu watu wa Mungu naimani mpo salama kabisa, kwangu Mimi Mniombee Sana tu maana naandika uzi huu Hali haiko sawa .
Nimekuja kwenye jukwaa hili na kujaribu kuutangazia uma wote mjue japo si wote wataelewa na wengine watakebehi pia.
Lakini kwa vyovyote vile ila nataka ujue kuwa hata Yesu pia hawakumwamini walikuja kumwamini tayari wameshamsulubisha tayari kazi yao ilibaki kuomba toba japo wengine waliikosa nafasi hiyo ya Toba na hata Sasa nafsi zao zinasubiri hukumu.
Chadema huwa wana kauli mbiu yao moja ambayo huwa inanikonga nyoyo " Tulianza na Mungu tunamaliza na Mungu" hii kauli mbiu inatisha na inaogofya kwa wetu wenye uelewa, yapo mengi yamedhibitika yakuwa ukipambana na Chadema basi unapambana na Mungu na unaweza potea mda wowote kwenye ramani ya siasa na hata kudharaulika kabisa.
1.Zitto kabwe wakati yupo Chadema alikuwa anatisha, akisimama bungeni unaona ukimya wa Bunge kutawala wakimsikiliza Zitto leo hii Zitto hana tofauti na Kibajaji🤔😢
2. Dr Slaa alikuwa akisimama kwenye mkutano wa kampeni hadi watu wanalia machozi, na tukaamini kuwa baada ya Dr Slaa kutoka Chedema basi ndio mwisho wa chama hiki, lakini leo hii unaweza kuona afadhali umsikilize Msukuma Kasheku wa Geita Ila sio Dr Slaa na Chadema bado inadunda tena inatisha.
3.Wote ni mashahidi kuwa Halima James mdee alikuwa na uwezo wa kujamba tu na watu wakajaa🙊🙊 lakini Halima huyu huyu baada ya kutoka Chadema alifiwa na bibi yake hata ndugu zake walimtenga, leo hii Halima yupo bungeni lakini heri kumsikiliza Gwajifix kuliko Halima na Chadema ndio kwanza inazidi kupaa.
4. Ninyi wote ni mashahidi kuwa hayati JPM aliapa kuiangamiza Chadema kwenye utawala wake, nafiki ri wote mnajua JPM yupo wapi na hata Nyimbo za maombolezo tumezisahau, kidogo za msiba wa Nyerere ukiimba zinaleta hisia😭😭😭😭 Ila Chadema ndio kwanza wanajenga ofisi kila Kanda.
5. Ukweli mnaujua kuwa njemba ya tweeter inayoitwa kigogo alitisha mpka akapewa na jina la kuwa ni shemasi, mnajua vizuri serikali haikulala usiku na mchana ikitafuta kumkwepa na kumtafuta kigogo, lakini baada ya kigogo kuigeukia Chadema Leo hii kigogo amekuwa mpiga debe wa Sabuni za Mo29😂😂😂🙌🙌 🏃🏃 akaiacha Chadema inafanya kongamano huko Tarime Kanda maalumu pamoja na kutangaziwa Vita Ila bado walifanya.
Namaliza kwa kusema Chadema sio Chama ni Mungu mwenyewe kasimama kutaka kututoa utumwani watanzania ila bado hatuelewi, najua Kuna siku tutajua ila mda utakuwa umeenda na tutakua tumeacha laana kwenye vizazi vyetu kwa sababu ya kugombana na Chadema.😢😢😢
Chadema ipo na itaendeleaa kuwepo na hakuna wa kuzuia mpango wa Mungu, najua wapo wabishi wanaopenda kuwafuatilia wana wa Mungu kisa tu wamepiga kambi jangwani na mbele kuna bahari, Sasa wafuatieni alafu muone Mungu atakavyowafurahisha katikati ya bahari.
Najua wasomaji wamenielewa hapa mwishoni nimeongelea hadithi gani na sio tu ni hadithi ila ni kweli Sasa wewe chulia poa subiri saa kumi na moja alfajiri Bwana akuchungulie kwenye nguzo ya moto hapo ndipo utajua kwanini wimbo wa Taifa hauna video yake wakati serikali ina hela za kurekodia video yake🙌🙌🙌🙊🙊🙊 Mniombee.
Mungu mwema kumekaribia kupambazukaKwambali naanza kuielewa system yanatokea hayatokei kwa bahati mbaya chadema wanasaidiwa Ila hawaoni
Kinachofanywa na dola kwasasa dhidi ya chadema kimevuka mipaka ya uvumilivu. Na ni Jambo linalojirudiarudia hii maana yake haya mambo yanapangwa na kuratibiwa makusudi. Pengine system inafanya hivi ili kuichonganisha ccm na wananchi ili waiprovoke jamii halafu jamii ifanye Kama tahrir square...www.jamiiforums.com
Kabisa!Wala MUNGU siyo IGP SIRO,.Mungu wetu hadhihakiwi ,Mungu wetu ni wahaki.Magufuri alifariki kitamboMungu siyo Amstwrdam wala Lisu
Mungu siyo Amstwrdam wala Lisu
Chadema bado ni tumaini la watanzania asiyekubali afe kama magufuli na mkapaHabari ya usiku huu watu wa Mungu naimani mpo salama kabisa, kwangu Mimi Mniombee Sana tu maana naandika uzi huu Hali haiko sawa .
Nimekuja kwenye jukwaa hili na kujaribu kuutangazia uma wote mjue japo si wote wataelewa na wengine watakebehi pia.
Lakini kwa vyovyote vile ila nataka ujue kuwa hata Yesu pia hawakumwamini walikuja kumwamini tayari wameshamsulubisha tayari kazi yao ilibaki kuomba toba japo wengine waliikosa nafasi hiyo ya Toba na hata Sasa nafsi zao zinasubiri hukumu.
Chadema huwa wana kauli mbiu yao moja ambayo huwa inanikonga nyoyo " Tulianza na Mungu tunamaliza na Mungu" hii kauli mbiu inatisha na inaogofya kwa wetu wenye uelewa, yapo mengi yamedhibitika yakuwa ukipambana na Chadema basi unapambana na Mungu na unaweza potea mda wowote kwenye ramani ya siasa na hata kudharaulika kabisa.
1.Zitto kabwe wakati yupo Chadema alikuwa anatisha, akisimama bungeni unaona ukimya wa Bunge kutawala wakimsikiliza Zitto leo hii Zitto hana tofauti na Kibajaji🤔😢
2. Dr Slaa alikuwa akisimama kwenye mkutano wa kampeni hadi watu wanalia machozi, na tukaamini kuwa baada ya Dr Slaa kutoka Chedema basi ndio mwisho wa chama hiki, lakini leo hii unaweza kuona afadhali umsikilize Msukuma Kasheku wa Geita Ila sio Dr Slaa na Chadema bado inadunda tena inatisha.
3.Wote ni mashahidi kuwa Halima James mdee alikuwa na uwezo wa kujamba tu na watu wakajaa🙊🙊 lakini Halima huyu huyu baada ya kutoka Chadema alifiwa na bibi yake hata ndugu zake walimtenga, leo hii Halima yupo bungeni lakini heri kumsikiliza Gwajifix kuliko Halima na Chadema ndio kwanza inazidi kupaa.
4. Ninyi wote ni mashahidi kuwa hayati JPM aliapa kuiangamiza Chadema kwenye utawala wake, nafiki ri wote mnajua JPM yupo wapi na hata Nyimbo za maombolezo tumezisahau, kidogo za msiba wa Nyerere ukiimba zinaleta hisia😭😭😭😭 Ila Chadema ndio kwanza wanajenga ofisi kila Kanda.
5. Ukweli mnaujua kuwa njemba ya tweeter inayoitwa kigogo alitisha mpka akapewa na jina la kuwa ni shemasi, mnajua vizuri serikali haikulala usiku na mchana ikitafuta kumkwepa na kumtafuta kigogo, lakini baada ya kigogo kuigeukia Chadema Leo hii kigogo amekuwa mpiga debe wa Sabuni za Mo29😂😂😂🙌🙌 🏃🏃 akaiacha Chadema inafanya kongamano huko Tarime Kanda maalumu pamoja na kutangaziwa Vita Ila bado walifanya.
Namaliza kwa kusema Chadema sio Chama ni Mungu mwenyewe kasimama kutaka kututoa utumwani watanzania ila bado hatuelewi, najua Kuna siku tutajua ila mda utakuwa umeenda na tutakua tumeacha laana kwenye vizazi vyetu kwa sababu ya kugombana na Chadema.😢😢😢
Chadema ipo na itaendeleaa kuwepo na hakuna wa kuzuia mpango wa Mungu, najua wapo wabishi wanaopenda kuwafuatilia wana wa Mungu kisa tu wamepiga kambi jangwani na mbele kuna bahari, Sasa wafuatieni alafu muone Mungu atakavyowafurahisha katikati ya bahari.
Najua wasomaji wamenielewa hapa mwishoni nimeongelea hadithi gani na sio tu ni hadithi ila ni kweli Sasa wewe chulia poa subiri saa kumi na moja alfajiri Bwana akuchungulie kwenye nguzo ya moto hapo ndipo utajua kwanini wimbo wa Taifa hauna video yake wakati serikali ina hela za kurekodia video yake🙌🙌🙌🙊🙊🙊 Mniombee.
Hahhahaha kabisaaChade
Chadema bado ni tumaini la watanzania asiyekubali afe kama magufuli na mkapa
Mkuu, hujawahi hata siku moja ukaiwazia akili yako mwenyewe na ukagundua kuna mahala akili yako huitendei haki???? Hapa hujaitendea haki.Shida yenu mnataka muonekane watakatifu na mnamshawishi Mungu Kwa nguvu (japo haiwezekani) ili muonekane wateule.
Unapataje ujasiri wa kusema haya?
Shida yenu mnataka muonekane watakatifu na mnamshawishi Mungu Kwa nguvu (japo haiwezekani) ili muonekane wateule.
Unapataje ujasiri wa kusema haya?
He scammed you what? Pls tell us so that we can spread the news.Acha kujificha kwenye vyama vya siasa tapel jizi wewe
Pita kwenye hii thread mkuu.He scammed you what? Pls tell us so that we can spread the news.