Pre GE2025 CHADEMA walidhani wanaweza kumtenganisha Rais Samia na Hayati Magufuli

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Sasa Ndio Chadema wamegundua uRais ni Taasisi tofauti kabisa na Nafasi ya Mwenyekiti wa Chama cha Siasa kama alivyo mh Mbowe hapo Chadema HQ Mikocheni

Mpendwa Wetu Mh Rais Samia ameamua kumuenzi Shujaa Magufuli kwa kuipa Stesheni Kuu ya Treni ya SGR Jina la " Magufuli "

Hii ni Heshima kubwa sana kwa Wazalendo wa Taifa letu na Mungu wa Mbinguni mbariki Jasiri Rais Dr Samia 🌹

Mlale Unono πŸ˜€πŸ˜€

PIA SOMA
- Majina ya vituo vya tren: Dar Magufuli, Moro Kikwete, Dom Samia, Tabora Mwingi, Shinyanga Karume na Mwanza Nyerere
 
Halafu wewe ukishalewa pombe zako za offer lazima utoe boko tu,sasa Chadema inaingiaje hapa? Wewe hata ukizidiwa pombe hadi ukashindwa kumuingilia mkeo fresh asubuhi utajitetea kwa kuitaja Chadema. Uchawa wa uzeeni noma sana mzee
 
Asante nawe ulale mang'amung'mu.
 
Mama Leo Kafanya TAIFA litabasamu. Asante SSH
 
Former Zimbabwean President Robert Mugabe’s daily revenge on racism β€”

β€œBut I don't care, as long as I'm still using white toilet paper to wipe my black ass, with that only, I will be just fine!"

Namimi nasema "Ilimradi SGR Station ya Dar imepewa jina la Magufuli, kwa ilo tu nimelizika". Huyu baba alipambana!
 
Kwakweli! Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni !
Alipambana Ngosha πŸ™πŸ™πŸ™Œ
 
CHADEMA wanaingiaje hapo?? hebu tengeneza logical connection hapo.

Je kumbe wana nguvu kiasi Cha kutaka kumtengenisha Samia na Urais wake dhidi ya Magufuli!??
Sijaona UHUSIANO wowote hapo, hukuwa na sababu ya kutaja CHADEMA.πŸ€”πŸ€”
 
Unawatibua makamanda😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…