Pre GE2025 CHADEMA walidhani wanaweza kumtenganisha Rais Samia na Hayati Magufuli

Pre GE2025 CHADEMA walidhani wanaweza kumtenganisha Rais Samia na Hayati Magufuli

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sasa Ndio Chadema wamegundua uRais ni Taasisi tofauti kabisa na Nafasi ya Mwenyekiti wa Chama cha Siasa kama alivyo mh Mbowe hapo Chadema HQ Mikocheni

Mpendwa Wetu Mh Rais Samia ameamua kumuenzi Shujaa Magufuli kwa kuipa Stesheni Kuu ya Treni ya SGR Jina la " Magufuli "

Hii ni Heshima kubwa sana kwa Wazalendo wa Taifa letu na Mungu wa Mbinguni mbariki Jasiri Rais Dr Samia 🌹

Mlale Unono 😀😀

PIA SOMA
- Majina ya vituo vya tren: Dar Magufuli, Moro Kikwete, Dom Samia, Tabora Mwingi, Shinyanga Karume na Mwanza Nyerere
Baada ya Wahuni kupigwa chini Sasa ndo tunaona Samia ni kitu kimoja na Magufuli.

SEMA puumbavu Kwa wahuni
 
Hakika hayati Mafufuli alikuwa mtu na nusu hasa kwenye suala la maendeleo. Mwenyezi Mungu ampumzishe kwa amani.
Sasa mbona kila mradi anatajwa nanihii? Mwanzilishi wa huu mradi si Kikwete? Mjenzi si Magu Sasa inakuwaje? Mi sielewi sifa kuhamahama!
 
Sasa nimeelewa bila ya shaka yoyote ile.

Siku hii ya leo, August 01, kwa tukio hili moja la SGR nimeiona safu nzima ya jeshi la chawa wanao mpigania 'Chura Kiziwi' kufa na kupona. Timu nzima, kasoro ya wale walioko likizo leo imeingia kazini kumwaga sifa.

Kumbe sikukosea kumdhani mkuu 'johnthebaptist' kuwa kiungo muhimu katika timu hiyo. Kujificha ficha vichakani kwa hapa na pale katika mada anazoleta hapa mara kwa mara zilitia shaka; lakini sasa shaka hiyo imeondoka yote.
Mlale Unono
Mnayo kazi ngumu sana safari hii kumpamba huyo mtunza chawa wenu.
 
Sasa Ndio Chadema wamegundua uRais ni Taasisi tofauti kabisa na Nafasi ya Mwenyekiti wa Chama cha Siasa kama alivyo mh Mbowe hapo Chadema HQ Mikocheni

Mpendwa Wetu Mh Rais Samia ameamua kumuenzi Shujaa Magufuli kwa kuipa Stesheni Kuu ya Treni ya SGR Jina la " Magufuli "

Hii ni Heshima kubwa sana kwa Wazalendo wa Taifa letu na Mungu wa Mbinguni mbariki Jasiri Rais Dr Samia 🌹

Mlale Unono 😀😀

PIA SOMA
- Majina ya vituo vya tren: Dar Magufuli, Moro Kikwete, Dom Samia, Tabora Mwingi, Shinyanga Karume na Mwanza Nyerere
Wewe Ni mnafiki Sana. Very stupid idiot , CHADEMA imeingiaje kwenye mambo ya SGR?. Shida mkipogwa na wake zenu mnakimbilia kutoa stress zenu JF. Narudia you are very stupid.
 
Wabongo bwana. Hilo lilikuwa Jambo lazima alifanye. Maana kalifanya kwa Marais wote.
Sio kwa namna mliyojitahid kumchafua Magufuli, Mama angewaskiliza leo hii angekuwa pimbi hvo vituo angevpa hata majina ya mikoa husika ili kumuepuka tu JPM
 
Back
Top Bottom