MOSintel Inc
JF-Expert Member
- Mar 24, 2016
- 817
- 593
hii picha ilichukuliwa asubuhiWasalaam wakuu,
Sote tumeshuhudia uzinduzi wa kampeni za uchaguzi za chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA, uliofanyika katika viwanja vya Mbagala.
Kwa uzinduzi huo uliofanyika leo na muitikio wa wananchi(wapiga kura), Je CHADEMA walijiandaa na uchaguzi wa mwaka huu?
View attachment 1550840
WalijiandaaWasalaam wakuu,

Una uhakika?hii picha ilichukuliwa asubuhi
Editing!WalijiandaaView attachment 1550868
Mkuu mbona unanifokea?Ndiyo propaganda TBC mliyobuni mkidhani itawasaidia CCM? TBC mnachukuwa picha kabla mkutano haujajaa halafu mnakuja kuweka kwenye internet ili watu wadhani Chadema wapinzania hawana watu? Kamuulizeni huyo kilaza wenu kwa nini anawahara sana Chadema kiasi cha kuagiza wagombea wake wakatwe
Ya kwako sawaEditing!
Ila ujumbe mmeupata na sisi tumeupata. Picha zenu mlizopiga muda wenu nyie sisi hazituhusu. Swali: kati ya Chadema na CCM nani walijiandaa kwa uchaguzi na nani walijiandaa kwa uchafuzi?Wasalaam wakuu,
Sote tumeshuhudia uzinduzi wa kampeni za uchaguzi za chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA, uliofanyika katika viwanja vya Mbagala.
Kwa uzinduzi huo uliofanyika leo na muitikio wa wananchi(wapiga kura), Je CHADEMA walijiandaa na uchaguzi wa mwaka huu?
View attachment 1550840
WalijiandaaView attachment 1550868
Ndiyo propaganda TBC mliyobuni mkidhani itawasaidia CCM? TBC mnachukuwa picha kabla mkutano haujajaa halafu mnakuja kuweka kwenye internet ili watu wadhani Chadema wapinzania hawana watu? Kamuulizeni huyo kilaza wenu kwa nini anawahara sana Chadema kiasi cha kuagiza wagombea wake wakatwe
Wakati watu wakiwa kazinihii picha ilichukuliwa asubuhi