Uchaguzi 2020 CHADEMA walijiandaa na uchaguzi wa mwaka huu 2020?

MOSintel Inc

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2016
Posts
817
Reaction score
593
Wasalaam wakuu,

Sote tumeshuhudia uzinduzi wa kampeni za uchaguzi za chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA, uliofanyika katika viwanja vya Mbagala.

Kwa uzinduzi huo uliofanyika leo na muitikio wa wananchi(wapiga kura), Je CHADEMA walijiandaa na uchaguzi wa mwaka huu?
tapatalk_1598627198072.jpg
 
View attachment 1550840
hii picha ilichukuliwa asubuhi
 
Ndiyo propaganda TBC mliyobuni mkidhani itawasaidia CCM? TBC mnachukuwa picha kabla mkutano haujajaa halafu mnakuja kuweka kwenye internet ili watu wadhani Chadema wapinzania hawana watu? Kamuulizeni huyo kilaza wenu kwa nini anawahara sana Chadema kiasi cha kuagiza wagombea wake wakatwe
 
Mkuu mbona unanifokea?
 
Nini kimetokea uzinduzi wa Kampeni za Chadema safari hii? Lile nyomi tulilolizoea la kipindi cha Lowassa liko wapi? Je, hii inaashiria nini kwenye Uchaguzi huu? Wananchi wameamua kutuma msg gani kwa Chadema?

Kuna uwezekano kweli wa Chadema kupata hata Jimbo moja Dar es Salaam? Hebu tutafakari. Mimi binafsi mpenda Demokrasia nimeshtuka sana.
IMG-20200828-WA0033.jpg
 
Hiyo picha sio ile ya siku ya show ya harmonize pale mbagala..?
 
Wasalaam wakuu,
Sote tumeshuhudia uzinduzi wa kampeni za uchaguzi za chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA, uliofanyika katika viwanja vya Mbagala.

Kwa uzinduzi huo uliofanyika leo na muitikio wa wananchi(wapiga kura), Je CHADEMA walijiandaa na uchaguzi wa mwaka huu?

View attachment 1550840
Ila ujumbe mmeupata na sisi tumeupata. Picha zenu mlizopiga muda wenu nyie sisi hazituhusu. Swali: kati ya Chadema na CCM nani walijiandaa kwa uchaguzi na nani walijiandaa kwa uchafuzi?
 
Mburumudu kwenye Jiografia ulipata zero hiyo ni asubuhi tazama vivuli watalaam wa MAP reading tupo hapa
 
Watamuelewa tu Lowasa na Slaa .Tundu Lisu keshaanza kupata meseji

Godbless Lema na Salum Mwalimu na Lisu nyuso zao zilikuwa unhappy Ni kitu hawakuelewana walikuwa so frustrated by reading their body language
 
Ndiyo propaganda TBC mliyobuni mkidhani itawasaidia CCM? TBC mnachukuwa picha kabla mkutano haujajaa halafu mnakuja kuweka kwenye internet ili watu wadhani Chadema wapinzania hawana watu? Kamuulizeni huyo kilaza wenu kwa nini anawahara sana Chadema kiasi cha kuagiza wagombea wake wakatwe

Na ndio sababu ya kukataza drones. Ili warushe zao.. kisingizio zao zimesajiliwa.
 
Back
Top Bottom