MOSintel Inc
JF-Expert Member
- Mar 24, 2016
- 817
- 593
- Thread starter
- #81
Hata mimi sielewi mkuu. Chadema watuambie angalau tupitishe bakuli.Nini kimetokea uzinduzi wa Kampeni za Chadema safari hii? Lile nyomi tulilolizoea la kipindi cha Lowassa liko wapi? Je, hii inaashiria nini kwenye Uchaguzi huu? Wananchi wameamua kutuma msg gani kwa Chadema? Kuna uwezekano kweli wa Chadema kupata hata Jimbo moja Dar es Salaam? Hebu tutafakari. Mimi binafsi mpenda Demokrasia nimeshtuka sana.View attachment 1550913