Uchaguzi 2020 CHADEMA walijiandaa na uchaguzi wa mwaka huu 2020?

Hata mimi sielewi mkuu. Chadema watuambie angalau tupitishe bakuli.
 
Ila ujumbe mmeupata na sisi tumeupata. Picha zenu mlizopiga muda wenu nyie sisi hazituhusu. Swali: kati ya Chadema na CCM nani walijiandaa kwa uchaguzi na nani walijiandaa kwa uchafuzi?
Jikite kwenye swali mkuu. Kwa uzinduzi wa leo, CHADEMA walijiandaa?
 
Acheni upotishaji hivi mnapata faida gani?
Picha za saa 7 mchana ndio tbc wamezipandisha kwann wasiweke za umat i wakati wanatimuliwa?
TBC walituma hizo picha zenye watu wachache kwa maslahi ya nani?
 
Watamuelewa tu Lowasa na Slaa .Tundu Lisu keshaanza kupata meseji

Godbless Lema na Salum Mwalimu na Lisu nyuso zao zilikuwa unhappy Ni kitu hawakuelewana walikuwa so frustrated by reading their body language
Sure....Hata mimi niliwaona.
 
Tibisi online[emoji16][emoji16][emoji16]
Akili yako haina tofauti nao.
Wanasema wanarusha live, kumbe wameandaa kijiwe cha kupiga soga za kijinga bora wametimuliwa!
Kuwatimua si suluhisho mkuu.
 
Acha uoga dogo angalia kivuli cha picha utabaini picha ni ya muda gani
 
Hiyo kama ni asubuhi, tupia ya jioni iliyopigwa kwa juu ili tujue uongo na ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…