Chadema walikoroga. Heche, wenzake wakichimbia kaburi chama chao

Joined
May 2, 2026
Posts
64
Reaction score
55
CHADEMA WALIKOROGA

- Heche, wenzake wakichimbia kaburi chama chao

- Msajili wa Vyama vya Siasa awapa siku 14 za kukihami chama chao kisisimamishwe

- Ni kwa kukiuka makusudi sheria ya vyama vya siasa, kuhamasisha uvunjifu wa sheria, vurugu na machafuko

DAR ES SALAAM

Kauli zinazodaiwa kutolewa na baadhi ya viongozi wa CHADEMA sasa zimeanza kukiweka chama hicho kwenye hatari kubwa ya kuchukuliwa hatua kali za kisheria baada ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kukipa siku 14 kujieleza kwanini usajili wake usisimamishwe.

Katika barua nzito yenye kumbukumbu namba HA.322/362/16A/22 ya Mei 7, 2026, Msajili ameonyesha wazi kuwa baadhi ya viongozi wa chama hicho wamekuwa wakikiuka kwa makusudi Sheria ya Vyama vya Siasa kwa kutoa kauli zinazodaiwa kuhamasisha uvunjifu wa sheria, vurugu pamoja na machafuko ya kisiasa nchini.

Barua hiyo iliyosainiwa kwa niaba ya Msajili wa Vyama vya Siasa na Sisty Nyahoza, imeeleza kuwa ofisi hiyo imekuwa ikifuatilia kwa karibu mwenendo wa viongozi wa CHADEMA, matamshi yao katika mikutano ya hadhara pamoja na taarifa zinazotolewa na chama hicho kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.

KAULI ZA HECHE ZAIPONZA CHADEMA

Miongoni mwa viongozi waliotajwa moja kwa moja katika barua hiyo ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, ambaye anadaiwa kutoa kauli za kuhamasisha maandamano nchi nzima kushinikiza kuachiwa kwa Tundu Lissu.

Pia soma: Msajili wa Vyama vya Siasa Ailima barua CHADEMA na kuipa Siku 13 Kujieleza Dhidi ya Tuhuma za Ukiukwaji wa Sheria ya Vyama vya Siasa

Kwa mujibu wa Msajili, kauli hizo zinaonyesha dalili za kuhamasisha wananchi kuingia barabarani na kufanya mikusanyiko inayoweza kuvuruga amani na usalama wa nchi.

Ofisi hiyo imeonya kuwa viongozi wa kisiasa hawapaswi kutumia hisia za wananchi kushinikiza maamuzi ya Mahakama au kuhamasisha shinikizo la umma katika masuala yaliyopo kwenye vyombo vya sheria.

“Kauli hizo zinaashiria vitendo vinavyoweza kuhatarisha amani na usalama wa nchi,” imeeleza sehemu ya barua hiyo.

Kwa mtazamo wa Msajili, hatua ya viongozi wa chama hicho kuhamasisha maandamano wakati suala husika bado lipo Mahakamani inaweza kufasiriwa kama kuingilia mwenendo wa sheria na kuhamasisha wananchi kwenda kinyume na utaratibu wa kisheria.

Inaendelea
1778912747609.jpg
 
Inaende
na ni lazima walinywe hilo tena kavu kavu 🔥
 
Asante max kwa kuweka ignore list kenge za mama kama hizi tumeshajua cha kufanya
 
Kwa 🔥 wa cdm lazima msajili aingilie kati kuwapunguza speed 😄

Ova
 
Wewe na huyo Nyahoza wote ni wapumbavu tu
 
FB_IMG_1748360197313.jpg
 
Msajili mwenyewe ana kadi na ni kada wa chama tawala (chama dola) unategemea nini?

Kiufupi kutoboa ni kazi ngumu kwa mifumo hii
 
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kukipa siku 14 kujieleza kwanini usajili wake usisimamishwe.
Huyu msajiri mimi sijawahi kumuelewa mboni km ana vita unajua hata km sio mtu sana wa siasa unaweza kuona tu huyu msajiri mboni km ana bifu na jamaa ile personal yaan ni chuki personal kabisa yeye binafsi ana chuki zake ni chuki bunafsi
 
Back
Top Bottom