CHADEMA walishamua kuwa hawataki umoja na mshikamano wa kitaifa, hakuna haja ya kuwalazimisha.

CHADEMA walishamua kuwa hawataki umoja na mshikamano wa kitaifa, hakuna haja ya kuwalazimisha.

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Waliahaonyesha wazi kuwa wao wana ubabe na hawataki kubembeleza mtu.

Wana imani kuwa wana nguvu ya umma itawapa backup na walishaonyesha mapema.

Wanataka tume huru na katiba mpya kwa ngivu kupitia nguvu ya umma.

Hata wakikaribishwa ili kujumuika na wanasiasa wenzao ili kuonyesha mshikamano wanaleta kiburi cha kisiasa.
 
Ndicho kinachotakiwa, serikali mnahangaika na nini kwa watu wapuuzi dizaini ya machadema..

Acha yasuse yakileta fyoko piga nyundo, bahati nzuri hakuna anayeweza kutoka barabarani eti uende mtaani kuwalilia chadema unless wewe ni taahira.
 
Nashangaa....watu tuliowategemea wakila kwa dhuruma ya Mamlaka wakiwa na roho mbaya hivi..Kuna watu dunia Hii walikuwa na Viburi sana,,lakini wako wapi?Jifunzeni kuwa wenye staha..tengenezeni maneno ya kuunganisha nchi..Sio pumba za kejeli zenye kuligawa Taifa!!
 
Mshikamano Watawala wetu wanaoutaka ni kama ule wa Cheyo Mrema, Lipumba na vyama vingine vya briefcase kudanganya nchi ni ya demokrasia ya vyama vingi kumbe ni uongo mtupu
 
Inategemea umoja huo unafanya nani? Yaani umoja wa siasa za upinzani ufanye na Zitto, Mrema ama Profesa - hiiìi
; umekwishaaa!!
 
Back
Top Bottom