Nashangaa....watu tuliowategemea wakila kwa dhuruma ya Mamlaka wakiwa na roho mbaya hivi..Kuna watu dunia Hii walikuwa na Viburi sana,,lakini wako wapi?Jifunzeni kuwa wenye staha..tengenezeni maneno ya kuunganisha nchi..Sio pumba za kejeli zenye kuligawa Taifa!!