PostGE2025 CHADEMA walitoa sadaka ya kujimaliza Oktoba 29, hawainuki tena

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Chadema walipanga mauaji ya vijana, hata Lissu alisema hivyo wakati anatangaza kukinunisha siku ya uchaguzi. Au nikuwekee clip yake kuthibitisha hilo?
Chadema hawakupanga kwa sababu hawana huo uwezo.ukweli ni kwamba Watanzania tumeamka tumejua ukweli.Kama kushawishi ni rahisi washawishini watanzania kuwa kila kitu kipo sawa.
 
Pole sana. Magufuli aliapa Chadema kingekufa kabla ys2020. Chadema hakijafa, yeye ametangulia. Naona wewe umejirithisha jukumu la kuuwa Chadema, pambana.
Ushahidi kuwa chadema haina watu tena, angalia namna watu walivyojitenga na chadema siku ya December 9 ambayo chadema walisema kungekuwa na maandamano. Watu waliikataa chadema kwa kuondoka kwa wingi kwenda mikoani/vijijini kwao kuepuka upumbafu usijurudie, na wale waliobaki kwenye majiji walitulia tuli majumbani mwao na mitaa ikabaki kimya kabisa. Kama chadema ingekuwa na wafuasi wengi sana hata polisi wangeshindwa kuwadhibiti wasiendelee kuichoma nchi. Maana hakuna jeshi linaloweza kuizuia nguvu ya umma, lakini hawa chadema walizimwa kama kibatali kuonyesha kuwa nguvu ya umma haiko nyuma yao. Pili, kama chadema wangekuwa wanaungwa mkono na nguvu ya umma hata Lissu wangemtoa nje kwa kutumia nguvu ya umma; lakini wapi weee, wanaozea jela wakati nguvu ya umma ikiendelea na mishe zao za kujitafutia riziki. Tatu, chadema wangekuwa wanaungwa mkono na watanzania wengi wasingelazimika kuwatumia wakenya na mange kimambi. Kimekufa bhanaweee!!!
 
Chadema hawakupanga kwa sababu hawana huo uwezo.ukweli ni kwamba Watanzania tumeamka tumejua ukweli.Kama kushawishi ni rahisi washawishini watanzania kuwa kila kitu kipo sawa.
Watanzania wepi hao, wangapi, umri upi, jinsia ipi, wa vijijini au mijini, wenye ajira au wasiokuwa na ajira? weka takwimu kaka badala ya jumlajumla yenu hiyo ya kijinga. Siku watanzania wakiamka wote hata CCM watashindwa kuiba kura, lakini baaado kabisa. Siku wakiamka hawatahitaji mange kimambi wala wakenya kama ilivyokuwa oct 29. Demokrasia sio hitaji la watanzania wa sasa, iliyopo inawatosha sana na kupindukia.
 
One condom could have prevented this idiot
 
Mbinu ni Kuwaua wajumbe na wenyeviti wa mitaa mali nyumba family zao zipigwe Moto 🔥 samuya atakimbia.piga Moto 🔥 tembea 🔥🔥🔥🔥🚶🚶🚶🚶
 
Mbinu ni Kuwaua wajumbe na wenyeviti wa mitaa mali nyumba family zao zipigwe Moto 🔥 samuya atakimbia.piga Moto 🔥 tembea 🔥🔥🔥🔥🚶🚶🚶🚶
 

CCM imebakia na Polisi tu ambayo nayo itakufa. Mnapotezza muda Chadema ni akili kubwa sawa waliosema yote yametokea. Watanzania wameielewa Chadema
 
Wewe ni shetani
And all this is because of Those Satanic Verves
 
chadema ni miongoni mwa vyama vya siasa mamaluki wa mambwenyenye wa magharibi wa kilofa sana.
hawana maono wala mipango ya maana ya mageuzi ispokua fujo na vurugu pekee.
 
TAL alizungumzia kukinukisha, hakujua madhara ya kauli ile na ubaya wake kwa kila aliyeisikia.

Alihubiri majanga makubwa, kuwa na elimu hakumfanyi mtu akawa na hekima au busara ya kawaida tu.
 
Bado hamjaandika, mtaandika sana, lakini cdm imeshukuwa imani. Na uzuri kizazi cha sasa kinaielewa cdm zaidi kuliko propaganda outdated.
 
Mwambie Mwigulu Nchemba anipeleke mahakamani mimi niliyelipwa bilioni tano ili kuratibu na kuhamasisha maandano October 29, 30 na 31.
Tangu waliponikamata hakuna lolote linaloendelea.
 
Kumbe mojawapo ndio huyu😃😃😃
Nasikia wanalipwa kwa kuichafua Chadema. Hongera, kazi ni kazi.
 
Hizi picha huwa zinanitoa machozi moyo unajaa hasira. Siwezi kusahau sauti za wale vijana wakipigania uhai wao mbele ya hawa watoa roho. Vijana walitoka kwenda kutafuta riziki hawakurudi mpaka leo ndugu na jamaa wanasubiri warudi😢.
Hakuna maelezo yatakayowasafisha CCM dhidi ya hii jinai
 
manina zenu hili zigo imewauma Kwa chadema kuwa na mikono safi katka hili kizuri hakuna aliyeanzisha maandamano kutoka chadema na kadri mnavyosolve Tatizo ambalo haipo ndio mnavyozidi kuliacha Tatizo husika kuendelea kumea, Tatizo kubwa ni haki na tume na Wala Hilo sio chadema ni LA watu wote wenyewe akili
 
Ukisikia Akili kumkyundu ndo hii sasa
 
Inasikitisha sana watu wamepigwa risasi hadi majumbani halafu linakuja zezeta moja kusema CHADEMA ndio waliua watu .
 
Unaweza kumtaja kiongozi yoyote yule wa CHADEMA aliyeshiriki kwenye yale maandamano? Maana mimi ni kati ya watu wachache wanaochukizwa na watu wanaoleta hoja zao humu jukwaani kwa mihemko, kujitoa ufahamu na uchawa; huku hizo hoja zao zikiwa hazina mashiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…