Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 46,405
- 138,158
Kwa hiyo mpaka hayo maandamano na vurugu zilipotokea, huyo Lissu alikuwa wapi?Chadema walipanga mauaji ya vijana, hata Lissu alisema hivyo wakati anatangaza kukinunisha siku ya uchaguzi. Au nikuwekee clip yake kuthibitisha hilo?
Inakuwaje watu wazima mnaongea hadharani mambo ya kitoto na yasiyo na ushahidi usio na shaka? Hizo hela hao vijana walipewa mikononi, waliingiziwa kwenye akaunti, au walizipata kwa utaratibu upi?
Halafu hizi porojo hata yule bosi wako muuaji aliwahi kuzitoa hadharani, na watu wenye akili timamu tulibakia tu kumshangaa.