PostGE2025 CHADEMA walitoa sadaka ya kujimaliza Oktoba 29, hawainuki tena

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Alishirikianaje na anashirikianaje na mabeberu akiwa jela mpaka leo mwaka mzima, na akijitetea peke yake bila wakili ?

Madaraka ya kulevya yana uongo unatia kinyaa.
 
Kwahiyo wale askari waliokufa waliuawa mavzi ya bb yako?
 
Kapa ilikufa mliogopa kunini kuweka reforms mkaona cha moto?

Mbona mlikimbilia Mahakamani kumfunga Lissu?

Mbona mlikimbilia Mahakamani kukataa mikutano ya Chadema kipindi cha no reforms no election campaign?
Lissu katiwa ndani sio kwasababu chadema inaogopwa, huna akili nyingi.
 
Kwani Chadema ndo walipanga maandamano au Gen Z?

Mbona mlikimbilia kuweka Jwtz Barbarani ?Msingefunga Barbara Kwa mitutu mkaona
gen z wa kenya!!! muulize Heche kawatoa wapi. Maana mkazi wa mbagala hawezi kuuchoma mwendokasi ili hangaike tena kupitia dirishani kuingia kwenye madaladala.
 
Naona unatamani CCM igeuke kuwa CHADEMA kwa jinsi CHAMA CHA MAUAJI (CCM) kinavyo chukiwa.
Sasa kinachukiwa hadi na wazee na wasio bahatika kupata elimu (iliterate) wa vijijini waliokuwa tegemeo lenu la mwisho.
You will never regain balance after 29/10/2025 downfall. The dividend of death is death. I'm talking about a systemic purge of the perpetrators of the bloodshed, and that is inevitable.
Blood for blood. That is a natural law for any blood feud.
Who lost their beloved ones will come for you, For revenge.
 
Nani amekudanganya wewe fala. Itisha uchaguzi leo uone CCM na machawa mtakavyoanguka....Mkipata asilimia 25 ya kura zote ni bahati.
 
Hao wazee wameshakiogopa chadema, kama huamini hilo hebu waite kwenye mkutano wa hadhara uone kama watakuja.
 
Nani amekudanganya wewe fala. Itisha uchaguzi leo uone CCM na machawa mtakavyoanguka....Mkipata asilimia 25 ya kura zote ni bahati.
uchaguzi upi tena kaka? chadema haina watu, inasubiri wagombea watakaoachwa CCM kukipa kura za wanaCCM waliochukia. Mwenyekiti Lissu yuko ndani hao wanachadema wako wapi? Kama ni wengi sana basi tungewaona kwenye no reforms no election. Wapi we kaka msijidanganye kuwa chadema ina watu. Hata hayo tuliyoyaona October 29 ni nguvu ya chadema iliyosaidiwa na Kitima, Warioba, Polepole, Gwajima na wakenya, Maria na Mange, lakini chadema kama chadema hamna kitu kabisa ni caput succedaneum, afadhali hata ile chadema ya Mbowe kuliko hii ya bwana kaka.
 
Kwahiyo wale askari waliokufa waliuawa mavzi ya bb yako?
Wewe zezeta hata kuandika ni changamoto.

Je policcm wanasubiri nini kutoa idadi ya vifo vya askari waliokufa kwenye maandamano?

Madelu alitaja magari,majengo, vituo vya mafuta mbona idadi ya policcm waliokufa hakutaja?

Hii hapa rekodi ya watu waliouwawa, haya leta idadi ya policcm waliouwawa pia.

 
Hao wazee wameshakiogopa chadema, kama huamini hilo hebu waite kwenye mkutano wa hadhara uone kama watakuja.
Wanaogopa kuvamiwa na mabunduki.
Hawaiogopi CHADEMA.
Sasa tujiulize nani anaruhurusiwa kumiliki assault rifles, na SMG?
 
Unaweza kushindana naye bila ya msaada wa policcm na mahakama na vyombo vyengine vya dola?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…