HIMO ONE
Senior Member
- Sep 6, 2010
- 128
- 7
Wadau;kama dakika ishirini zilizopita nilikuwa napita maeneo ya mabibo nikakuta mkutano wa cuf ambapo ndugu mtatiro anahutubia pale na kilichonifanya nimpe dakika chache kwenye ratiba yangu ni kauli yake nanukuu ""john mnyika kwa kushirikiana na wachadema wenzake waliuza jimbo la ubungo mwaka 2005 kwa ccm (keenja)kwa sababu ya njaa zao,wananchi msimchague Mnyika""mwisho wa kunukuu.
Chadema kazi kwenu tafadhalini fafanueni hii
Chadema kazi kwenu tafadhalini fafanueni hii